President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Ndugu Kutoka Karema Kwenda Moba DRC ni 89km. Ni parefu mno ndugu. Daraja la urefu huo.Hivi haiwezekani kusuka bridge kutoka Karema Port to DRC throught lake Tanganyika?
Ndugu Kutoka Karema Kwenda Moba DRC ni 89km. Ni parefu mno ndugu. Daraja la urefu huo.Hivi haiwezekani kusuka bridge kutoka Karema Port to DRC throught lake Tanganyika?
Sasa hebu tuseme ni kweli tutakuwa disqualified, je hiyo itaondoa ukweli kwamba tuli qualify 2025 na wao walishindwa? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakubwa tulishapiga hesabu kitambo tukaja na conclusion kwamba hawato qualify, na sasa tushapiga tena hesabu na zimeshakataa kwamba hawa watu hawato qualify 2027 afcon kwasababu hawatoandaa.
Unajua kina cha lake Tanganyika?Hivi haiwezekani kusuka bridge kutoka Karema Port to DRC throught lake Tanganyika?
Tutumie something like Trum,uhandisi haujashindwa kituUnajua kina cha lake Tanganyika?
Inawezekana Kwa njia ya TrumHivi haiwezekani kusuka bridge kutoka Karema Port to DRC throught lake Tanganyika?
Huo umbali wa 89km umepimwa kutoka wapi?Ndugu Kutoka Karema Kwenda Moba DRC ni 89km. Ni parefu mno ndugu. Daraja la urefu huo.
View attachment 3158407
Kutoka Karema Tanzania kwenda Moba DRCHuo umbali wa 89km umepimwa kutoka wapi?
Labda unifundishe kijaluo
Kwa treni yenu hiyo mbovu, mnatumia 14 days kufika Kampala... Ila mkitumia Reli ya standard ambayo Uganda ndio wanataka kuanza kujenga mtatumia 24hrs from msa to Kampala...
Hivyo kwa watu wa siaya watatumia SGR ya Uganda kupeleka mzigo kwao maana watatumia muda mfupi zaidi kuliko kutumia nginja nginja hiyo ya mchina
Nadhani umeolewa sasa... Au bado?
View attachment 3158355
Kama ni across the lake hiyo 89km ni kubwa sana.Kutoka Karema Tanzania kwenda Moba DRC
Unajua kina cha lake Tanganyika?
Ziwa lenye kina kirefu zaidi duniani.Unajua kina cha lake Tanganyika?
Ni la pili duniani.Ziwa lenye kina kirefu zaidi duniani.
Sasa Kuliko kujenga daraja la gharama namna hiyo, say over $2 bln si bora wakajenga wagon ferries nne za kubeba mabehewa ya SGR mawili yakishuka na mawili yakipanda?Tutumie something like Trum,uhandisi haujashindwa kitu
Sgr na miundombinu yake km 722 ni Trilioni 13 ,sembuse hiyo Trilioni 5?Sasa Kuliko kujenga daraja la gharama namna hiyo, say over $2 bln si bora wakajenga wagon ferries nne za kubeba mabehewa ya SGR mawili yakishuka na mawili yakipanda?
So SGR ya Kenya kufika Malaba itaruka angani kutoka Naivasha hadi Malaba? Mbona watanzania wote hukuanga wajinga hivi? So Mizigo Zitoke Mombasa, zikitengenezwa Siaya hadi Tororo alafu zirudishwe Siaya tena? Wewe ni mjinga tu kama mamako.Utake, usitake... Uganda wata weka marshaling hapo Tororo ambayo ita serve huko Siaya na other western parts za kunyaland. Sioni uwezekano wa rails kuwafikia in 20yrs to come.
Utakufa before Uganda ifikirie kuunganisha their SGR na ya Tanzania, Najua mnaumia kupoteza soko kubwa kwa Kenya lakini hakuna kitu mtafanya kwa sasa😂😂😂😂Ukiangalia hii ramani vizuri SGR Tanzania inaweza kuungana na Kampala kupitia Kagera na western route ya Kampala! It’s all about maths especially kama Tanga port itaunganishwa na SGR ya kwenda Mwanza na kufupisha umbali!
![]()