Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kumbe hii mambo ya Uganda kuchoose Kenya imewaumiza wachawi wengi😂😂
View: https://x.com/ItsKamala/status/1859861586275663915
View: https://x.com/ItsKamala/status/1859861586275663915
Falamanga,So SGR ya Kenya kufika Malaba itaruka angani kutoka Naivasha hadi Malaba? Mbona watanzania wote hukuanga wajinga hivi? So Mizigo Zitoke Mombasa, zikitengenezwa Siaya hadi Tororo alafu zirudishwe Siaya tena? Wewe ni mjinga tu kama mamako.
Let me tell you the SGR route to Malaba. Usipopata Siaya hapo niambie nihame JF malaya hii.
View attachment 3158614
Sioni uwezekano wa hiyo sijiara kobe ya kunyaland kufika malaba in 20yrs to come.... Wakati malaba kampala itakuwa tayari in 2yrs...Burundi na Congo zitakuwa tayari in 5yrs...huoni western party ya kunyaland itabidi kutegemea SGR hii ya Central corridor kwa sababu ya cost efficient na less time kuzidi hiyo nginja nginja ya diesel?So SGR ya Kenya kufika Malaba itaruka angani kutoka Naivasha hadi Malaba? Mbona watanzania wote hukuanga wajinga hivi? So Mizigo Zitoke Mombasa, zikitengenezwa Siaya hadi Tororo alafu zirudishwe Siaya tena? Wewe ni mjinga tu kama mamako.
Let me tell you the SGR route to Malaba. Usipopata Siaya hapo niambie nihame JF malaya hii.
View attachment 3158614
Ukiangalia hii ramani vizuri SGR Tanzania inaweza kuungana na Kampala kupitia Kagera na western route ya Kampala! It’s all about maths especially kama Tanga port itaunganishwa na SGR ya kwenda Mwanza na kufupisha umbali!
![]()
Sawa Methuselah 😂😂😂😂.Falamanga,
The Possibilities r ipitie SGR Mwanza ipande wagon ferries iunge na electric SGR Kampala-Malaba!
Hawa wakenya ni wajinga sn, yn wanaona kabisa picha linapoenda kuishia lkn bado wanajitoa ufahamu, mmoja anakuambia eti electric powered sgr ya Uganda Ina features kama za fossil fuels a.k.a diesel jointed and outdated a.k.a upgraded mgr yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio ninachomwambia huyo zezeta kwamba Uganda anamzunguka yeye anabaki kuchekelea tu bila kujua the end game ya huo mchezo.
Kwa Uganda kutembea kwa standard ya SGR ya Tanzania, ambayo itaenda hadi Congo, Burundi na Rwanda wajua tayari wameshawekwa nje ya picha.
Mbaya zaidi hakuna dalili ya kutoka hapo suswaa
Sawa mjinga.Sioni uwezekano wa hiyo sijiara kobe ya kunyaland kufika malaba in 20yrs to come.... Wakati malaba kampala itakuwa tayari in 2yrs...Burundi na Congo zitakuwa tayari in 5yrs...huoni western party ya kunyaland itabidi kutegemea SGR hii ya Central corridor kwa sababu ya cost efficient na less time kuzidi hiyo nginja nginja ya diesel?
Naona kweli tumewekwa nje😂😂😂.Ndio ninachomwambia huyo zezeta kwamba Uganda anamzunguka yeye anabaki kuchekelea tu bila kujua the end game ya huo mchezo.
Kwa Uganda kutembea kwa standard ya SGR ya Tanzania, ambayo itaenda hadi Congo, Burundi na Rwanda wajua tayari wameshawekwa nje ya picha.
Mbaya zaidi hakuna dalili ya kutoka hapo suswaa
Sikuona haja ya kumjibu huyo kima nimempuuzia tuu.Uhuru stadium, Amani stadium. CCM kirumba stadium.
Naona kweli tumewekwa nje😂😂😂.
Yani mtanzania ameumia hadi wanajaribu kupangia waganda mambo yao😂😂👇👇
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1859577860203118877
Unataka tuwe invited kwani Tororo iko Kenya. Vile tulibreak ground Mombasa kwa tuli-invite Uganda? Tumia akili saa zingine wewe mzee.The funny thing though the northern corridor is the transboundary route no Kundustan official was present hence not invited! at the launch of Kampala-Malaba section!
Juu hamna jibu😂😂Sikuona haja ya kumjibu huyo kima nimempuuzia tuu.
Sawa mjinga.
sijui kwanini hawa jamaa wanaamini ulongo juzi kuna mmoja anadai Nairobi pekee ina peved roads 7000knKwahiyo umeshindwa kuweka Maps kuonesha any paved road yenye urefu wa 1000km? 🤣 🤣 👇 👇 👇 We agree together kuwa taarifa zako ni za uongo.
Thank you
View attachment 3157793
Sawa mjinga.Done. You can take it to the bank.
Naona Uganda inajua plan za ujenzi wa sijiara yenyuu kuliko hata wakunyaa.... Hahaha eti ujenzi next year...
Chir Chir anasema hata hela za kukarabati barabara hana ndio apate hela za kujenga Reli!?
Wewe ni bure kabisa.....
Ebu tuambie Nairobi iko na paved roads ngapi kama 7,000km in uongo kwako. Ebu tuambie hiyo yako yenye sio ya uongo alafu back it up with an evidence😂😂sijui kwanini hawa jamaa wanaamini ulongo juzi kuna mmoja anadai Nairobi pekee ina peved roads 7000kn