Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ujinga wale ni equal partners!

Mzee usipende kuwaita watu wajinga wakati hujafanya research yoyote. Hiyo ni kuonesha namna unavyoniogopa. 🤣 🤣 👇 👇 👇. Mimi namwaga data tu.

1732180870633.png
 
Zanzibar has crossed 2 mln mark and Kilimanjaro airport has crossed 1 mln mark for passengers!
According to you, sindio?😂😂😂

Your government says otherwise, Kilimanjaro imeshindwa hadi na Kisumu airport with domestic travelers alone😂😂

Zanzibar 1.9M
Kilimanjaro 787k

IMG_0777.jpeg
 
Renovation at Nyayo Stadium has started.


I won’t be surprised kama all AFCON matches zitachezwa Kenya cause we will have three good stadiums in one city hence saving players fatigue of traveling long distances from one place to another.
1732181115782.jpeg

1732181134099.jpeg

1732181153225.jpeg
 
Key word 25 tonne axle load 🤣 🤣 🤣 🤣
Kila siku nawaambia huyo ni kichaa, hapo anaona kabisa Uganda kafuata feature zote za sgr Tanzania mpaka anayetengeneza, lkn bado anapindisha ukweli ili kujifariji, atakufa mapema sn uyo jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Key word 25 tonne axle load 🤣 🤣 🤣 🤣
Yes, ndio maana nikawaambia they have adopted all the specifications of Kenyan SGR. Ama unasahau our SGR pia ni 25 tonnes axle load?😂😂
 
Kila siku nawaambia huyo ni kichaa, hapo anaona kabisa Uganda kafuata feature zote za sgr Tanzania mpaka anayetengeneza, lkn bado anapindisha ukweli ili kujifariji, atakufa mapema sn uyo jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watchman si nadhani uliniblock? Kumbe bado unafuatilia comments zangu kisrisiri? Indeed you can’t escape my shadows😂😂
 
Na kama kweli Uganda atajenga reli yake ya umeme kuunganisha na reli ya makaa ya mawe ya kule North basi nitaamini kama sio JPM basi hata bomba la mafuta lingepita Kenya, hii iwape ufahamu wale jamaa zetu wa kusifusifu ujinga kwamba vitu havitokei kwa huruma na kujuana inatakiwa vipambaniwe, muwe na ushawishi na maarifa kama ya JPM. Na hiyo ndiyo sababu wakenya wengi hawataki hata kumsikia JPM coz kawaharibia future.

Just imagine reli aliyobuni yeye for a short period of time imesafirisha abiria inayokaribia idadi ya abiria waliosafirishwa na reli ya makaa ya mawe kwa miaka 8.
 
Nyinyi ni wajinga kiasi gani? Uganda ataunganishaje electric powered and continuous welded sgr na Fossil diesel jointed sgr.
Basi mbona wanijenga kuanzia Malaba border? Ama hapo Malaba ni border ya Uganda na Tanzania?😂😂🤣
 
Teargas Amka


Consumer Choice Awards Africa is an annual awarding ceremony which seeks to award excellence to companies, organization and institutions across the continent in various sectors of the economy through the public opinions collected as online votes through this website, established in 2019 at Dar es Salaam Tanzania.
 
Mizigo na sisi ndio tunaanza February 2025 kuwa mpole tutarudi hapa kuhabarisha
Usilinganishe SGR yenye Iko focused kwa mizigo na SGR Iko focused kwa abiria. SGR ya Kenya for every 1 train ya abiria inayoondoka Mombasa kuelekea Nairobi, kuna treni kama tatu au zaidi za mizigo zinazoondoka. SGR ya Kenya ilianza kubeba mizigo kabla ibebe abiria. Kwa hivo ukihesabu number ya abiria hapo Vumbistan alafu uconclude train yenu ni more successful utakuwa unajidanganya.
 
Back
Top Bottom