Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Pia Speed 120. Km/h PAX while Cargo 100 km/h!Key word 25 tonne axle load 🤣 🤣 🤣 🤣
Goods gani mnataka kubeba?😂😂😂Hiyo ni ya kubebea small goods. Huwezi ukabeba mzigo mzito wa madini.
Natumaini mtaendelea kubeba mahindi na ndizi kutoka Uganda.
Sorry for your pain. Uganda is joining their SGR to Kenyan Side. From Uganda, it will be Rwanda and then DRC😂Pia Speed 120. Km/h PAX while Cargo 100 km/h!
Hawa watu huwa na projection sana. Ukiona mVumbistan anaongelea sana jambo Kila mara, jua ana upungufu kwa hilo jambo analoongelea. Inferiority complex tupu.Hata border ya Tanzania ndio hajaifika😂😂
Huyo msenge bado ana vitakwimu vya zamani ili ajiliwaze, iko wazi kabisa watalii wote kwa sasa over 90% wanakuja Tanzania percentage inayobakia ndiyo wanagawana Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.Zanzibar has crossed 2 mln mark and Kilimanjaro airport has crossed 1 mln mark for passengers!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo ni ya kubebea small goods. Huwezi ukabeba mzigo mzito wa madini.
Natumaini mtaendelea kubeba mahindi na ndizi kutoka Uganda.
Wewe utajulia wapi upo kibera unakunywa chang'aa.Goods gani mnataka kubeba?😂😂😂
Are you forgetting Mombasa Port alone handles more cargo than all Tanzanian ports combined?😂😂
| Aspect | 25-Tonne Axle | 35-Tonne Axle |
|---|
| Freight Volume | Moderate freight volumes per trip | High freight volumes per trip |
| Type of Goods | General goods, containerized cargo, consumer goods | Heavy goods, bulk cargo (minerals, coal, steel) |
| Commodity Suitability | Suitable for lighter commodities like textiles, electronics, and agricultural products | Ideal for heavy commodities like iron ore, cement, and raw materials |
| Bulk Goods Capacity | Limited bulk goods capacity | High bulk goods capacity, efficient for mining output |
| Containerized Goods | Commonly used for containerized shipping | Less common, but can be adapted for containerized bulk goods |
Hebu tupe axle load ya sgr yenu alafu tuambie na yetu ni ngapi ili tuone ujinga wako ulipojificha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usilinganishe SGR yenye Iko focused kwa mizigo na SGR Iko focused kwa abiria. SGR ya Kenya for every 1 train ya abiria inayoondoka Mombasa kuelekea Nairobi, kuna treni kama tatu au zaidi za mizigo zinazoondoka. SGR ya Kenya ilianza kubeba mizigo kabla ibebe abiria. Kwa hivo ukihesabu number ya abiria hapo Vumbistan alafu uconclude train yenu ni more successful utakuwa unajidanganya.
Unasahau 80% of Tanzanian tourists are Kenyans?😂😂😂Huyo msenge bado ana vitakwimu vya zamani ili ajiliwaze, iko wazi kabisa watalii wote kwa sasa over 90% wanakuja Tanzania percentage inayobakia ndiyo wanagawana Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kichekesho cha mwaka 2024Unasahau 80% of Tanzanian tourists are Kenyans?😂😂😂
Ebu niambie ni goods gani mnataka kubeba saa hii that hamjawaibeba before😂😂.Wewe utajulia wapi upo kibera unakunywa chang'aa.
Aspect 25-Tonne Axle 35-Tonne Axle
Freight Volume Moderate freight volumes per trip High freight volumes per trip
Type of Goods General goods, containerized cargo, consumer goods Heavy goods, bulk cargo (minerals, coal, steel)
Commodity Suitability Suitable for lighter commodities like textiles, electronics, and agricultural products Ideal for heavy commodities like iron ore, cement, and raw materials
Bulk Goods Capacity Limited bulk goods capacity High bulk goods capacity, efficient for mining output
Containerized Goods Commonly used for containerized shipping Less common, but can be adapted for containerized bulk goods
Ila we jamaa ni kilaza na ni mpumbavu wa kufa mtu. 😂😂😂 hizi takwimu mbona zinakuumbua sasa.? Wewe umedai ni 10k km .? 😂😂 haya heb tuone ni hivyo.? Jedwali hili hapa.
Kenya is Tanzanian biggest source of Tourists😂😂👇👇🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kichekesho cha mwaka 2024
Data za serikali ya Tanzania za 2023 inasema Tanzania nzima only have 10,000km of paved roads😂😂Ila we jamaa ni kilaza na ni mpumbavu wa kufa mtu. 😂😂😂 hizi takwimu mbona zinakuumbua sasa.? Wewe umedai ni 10k km .? 😂😂 haya heb tuone ni hivyo.? Jedwali hili hapa. View attachment 3157684Takwimu za 2021 ndio zimeeleza idadi ya barabara zote zinazomilikiwa na Tanroads all around the country.
2021 statistics (barabara za lami)
Barabara kuu zimatajwa = 9,058
Barabara za mikoa = 2,228
Barabara zinazounganisha wilaya na miji mikuu = 2,274
Je ni sawa na 10k km of roads accorfing to this poor boy Teargas .? 😂😂
Haya njoo kwene hesabu chukua 9,058+2,228+2,274= 13,560km of roads.
Mind you, hizi ni statistics za Tanroads tu. Tena ni za mwaka 2021 huko.
Yani wanaanzia malaba na bado jamaa zinabisha eti wataunganisha kwao.😂😂 Hawa majamaa bana. Hawa wanaweza kana mama zao ili washinde mjadala.😂😂Basi mbona wanijenga kuanzia Malaba border? Ama hapo Malaba ni border ya Uganda na Tanzania?😂😂🤣
Tatizo unaishi kwenye image nation 🤣 🤣 🤣 🤣Ebu niambie ni goods gani mnataka kubeba saa hii that hamjawaibeba before😂😂.
Let me show you how your ports performed last year alafu uniambie hizo goods mnataka kutoa wapi😂😂👇👇
Dar Port did 22M cargo handling compared to Mombasa’s 38M😂😂👇👇
View attachment 3157688
This has to be the worst reply ever in here!! Nicheke mie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yet Kisumu handles more passengers than Kilimanjaro airport.
Wewe hijielewi. Je nakusingizia.? 😂😂Data za serikali ya Tanzania za 2023 inasema Tanzania nzima only have 10,000km of paved roads😂😂