Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehehhehe yani ChoiceVariable anafkiri tanzania haijawah ku qualify AFCON sasa atuambie 1980 tanzana iliingia kwa nguvu ya nani???😂😂😂😂😂

tanzania ishafuzu mara kadhaa sio juzi wala leo tunachohitaj taifa stars ifike walau robo fainali, tuwe na academy za mpira sio tunatumia pesa nyingi kuwapa posho wachezaji yet huku chini kumeoza hatuna zao lakimpira totaly
Kwa mama Tume qualify 3 times
 
I like how Kenyans are taking your jabs lightly in the comments. Ingekuwa the other way round ingekuwa disaster. Mngeidiscuss Hadi kwa parliament. Kila Mtanzania angekuwa Analia vile Kenyans are evil people. I hope you'll maintain the same civility tukianza banter zetu.
The reason Kenyans take Tanzanians jabs lightly is because we know they won't win any game at AFCON😂😂
 
Did you even understood what NairobiWalker said? Mbona unakuanga primitive hivi lakini?
🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇

1732087943657.png
 
wahanga wanasubiri michango kutoka kwa watanzania 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 wengine wanapndishwa kwenye kirikuu haya ndio maendeleo tunayojisifu nayo, labda nikuulize kwann michango ichangishwe kwa watanzania kama serekali inaweza kutoa??? kwann watu kuingia uwanjani bure michango haijaletwa kwa wananchi, au ndio tunajifichia kwenye mpira na AFCON ionekane nothing happened

sijawahi kuona aiseeee
Huyo achana naye anakupoteza maboya ili baadaye akamilishe uchawa wake kwamba kila maendeleo ya Tanzania ni Samia, unavyo mclash mwenzio ndiyo anafurahi anapata credibility ya kuongopea watu, kwani ni raisi gani ukiacha Nyerere aliyerudisha heshima ya mpira nchi hii zaidi ya magufuli? Chini ya magu Tanzania ilifuzu kwa mara ya kwanza afcon tangu mwaka 80. Aache ujinga.
 
Niko sure ukimuweka ignore list hizi unnecessary comments zitapungua humu.
Kweli kabisa kaka, huyo wenzie tulishampuuza, kwasababu hana jipya yeye hayupo kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania bali yupo kwa ajili ya kampeni, sasa mtu kama huyo hana nafasi humu cz majukwaa ya siasa yapo kule sio humu, ampige ignore aendelee na mambo yake.
 
mbona taifa stars sijatoa mchango sasa?

kwann tusitoe na taifa stars ??😂😂😂😂

au ng'ombe wa maskini hazai 😁😁😁
Kwani Kuna account ya michango ya Taifa Stars?

Wewe kichwa chako kina upumbavu mwingi,utoe mchango kwani Stars imefiwa au imepatwa na majanga?
 
Kama kawaida yao wamekurupuka kwenda kuwaomba wachina wawajengee kauwanja eti ili waandae afcon, wanadhani afcon ni issue ya kauwanja kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

No afcon in Kenya mark my words.
 
Back
Top Bottom