Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani udownload video mtandaoni utandanganye sisi ambao tumetembea hizo sehemu? Kuna Border Moshi? 😂 😂 Mnapenda kujifanya wajuaji sana na uongo uongo. Hapo ni Illasit wee poyoyo. Kutoka Moshi hadi hapo takriban 80km.
Halafu kabisa umeongeza story eti ulikuwa na demu wa Kikamba. Unatamani sana dem wa Kikamba eeh?😂😂
 
Watanzania wanapenda kudownload pictures na kujidanganya nazo😂😂😂.

Nimeona hadi amedownload videos za Ngong’ road akisema ati ni Moshi😂😂
 
That leave with a question if the guy really know Tanzania well😂😂
 
Huwa anatupostia hapa picha eti ako majuu. Naona kama anaambianga mtu ampigie picha amtumie. 😂😂😂.
 
Serialism ya Tanzania imeshindwa kuokoa watu wenye wamefunikwa na gorofa ilianguka Kariakoo, I think Tanzanians are just lazy right from their President down to the unborn baby. Gorofa enyewe ni ya 2 floors, sijui ingekuwa za 9-10 floors kama zile za Nairobi ingekuwa aje?
Alafu ipo mahali commercial ambapo unategemea pakuwa na standards za juu za ujenzi. Alafu unawapata wamepost gorofa za Kenya za huko ghetto eti Kenya kuna ujenzi mbovu. Imagine wangekuwaje kama mitaa yao ya watu wa kawaida ingekuwa na gorofa za more than 10 floors kama Kenya. 😂 😂
 
That leave with a question if the guy really know Tanzania well😂😂
Very few bongolalas here know their country well btw. And they are the quiet ones. Hawa wa domo domo ni village yao na Tandale ndio wanajua. Hata hiyo Dar hawaijui, uliona mwengine nampostia picha ya Mbezi anashangaa hapa ni wapi?😂😂
 
Huwa anatupostia hapa picha eti ako majuu. Naona kama anaambianga mtu ampigie picha amtumie. 😂😂😂.
Majuu gani na hata kuunganisha two English words ni mtihani kwake, ama anatumia Kiswahili huko majuu?😂😂😂.

Hawa watu wanapenda kudanganyana sana, why download a picture to deceive yourself thinking that you are deceiving people.
 
Our inner roads are have long network of paved roads than your country. Highways doesn’t even account for 40% of our roads.
OK kama Highways zinatengeneza 40% ya barabara zetu na hazifiki 5000km hiyo 60% inner roads ni km ngapi na hizo 20000km zinapatikanaje.Punguzeni uongo njia ya mwongo ni fupi!
 
Very few bongolalas here know their country well btw. And they are the quiet ones. Hawa wa domo domo ni village yao na Tandale ndio wanajua. Hata hiyo Dar hawaijui, uliona mwengine nampostia picha ya Mbezi anashangaa hapa ni wapi?😂😂
Unaezapata hata hajaikanyaga Dar😂😂😂.

Anacharge simu kwa Kinyozi alafu ikishajaa moto anakuja kutupigia nayo kelele hapa😂
 
OK kama Highways zinatengeneza 40% ya barabara zetu na hazifiki 5000km hiyo 60% inner roads ni km ngapi na hizo 20000km zinapatikanaje.Punguzeni uongo njia ya mwongo ni fupi!
Are you really this stupid? Nani amekuambia our Highways hazifiki 5000KM? Yani huko Tanzania huwa mnakubali tu chochote mnaambiwa kuhusu Kenya?😂😂
 
Construction industry in Kenya is bigger than all construction values in East Africa.

1731942549758.jpeg
 
Bongolala, Lokitaung has better roads than most parts of Dar is slum View attachment 3155334View attachment 3155335
Actually there is tarmac up to Nadapal (South Sudan Border) I think Nadapal and Lunga Lunga are the two furthest towns in Kenya (If you consider Nadapal to be a town). Niliona wenzetu wakijichocha humu eti Arusha ina 430km of Tarmac nikacheka maanake Arusha is among the richest regions in Bongolala wakati Turkana, our poorest, easily has that length of tarred road network. 😂 😂
 
Back
Top Bottom