Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilishakwambia wewe Bado sana hujui Tanzania ila unajua Kusini tuu huko.
Rukwa Ina mpaka wa Ardhi mrefu sana na Zambia wenye border posts 3 na mojawapo ya Barabara ya huko inaitwa Matai-Kasesya border-Kasama .

Songwe Ina mpaka na Malawi achilia mbali Kasumulu ya Mbeya,ukisagiri Barabara ya Tunduma-Isongole Border unalingia Malawi

Mikoa ambayo Kuna wakandarasi na haijaunganishwa na Lami ndio inaondoka tafsiri ya mada kwamba haijaunganishwa? Ujenzi wenyewe ni WA Kuunga unga mara km 20 mara 30 nk wakati Barabara Zina urefu zaidi ya km 150,Kwa utaratibu huu unadhani itachukua miaka mingapi kuunganisha?

Kuhusu Arusha na Shy ni kwamba unaifamu Barabara inaanzia Kolandoto-Mwanhuzi-Oldeani-Karatu? Hiyo ndio Barabara ya kuunganisha Arusha na Shinyanga na ni Trunk Road na Wala haipiti Makao Makuu ya Simiyu.

Mwisho sio tuu kwamba Barabara zenye mavumbi zinatakiwa kujengwa Bali zinatakiwa kufunguliwa Barabara Mpya mfano

Iringa-Ruaha NP-Kampi Katoto-Inyonga-Mpanda
Tabora-Kibondo
Sanya Jui-Longido-Serengeti
Tunduru-Liwale
Liwale-Mahenge
Singida-Tabora bila Kupitia Nzega
Kwahiyo connection ya ruvuma Zambia inatoka wapi mfano.
Sio Kila sehem inafaa kujengwa barabara lazima uangalie economic viability ,mfano hiyo border ya Malawi - songwe unazungumzia kujenga border post nyingine wakati hata Ile ya kasumulu Bado haijawa viable zaid ukijenga he huo upande wa pili watajenga ili iweze lipa au ni kujenga tu ili mradi kuwepo na barabara?
Inawezekana wewe unaangalia ili mradi kujenga tu bila kuangalia economic viability na ndio maana huwezi kuona umuhimu wa reli katika kukuza uchumi.
Kujenga kwa viapnde kunaendana na budget na matarajio , huwezi kwenda kukopa USD 10bil Leo eti unafanya maboresho ya barabara ambazo kwa Sasa hata ukiziangalia hakuna economic viability.
Yaan unataka Leo tukope letsay USD 1.bil kujenga barabara ya mbeya - tabora - mwanza ambayo kwa wastan hakuna viable economic activity ya kuweza kurejesha madeni na tuache kujenga reli kwenda kigoma na Burundi na rwanda ambako tayari Kuna mzigo wa nickel, cobalt na madini mzigo wa bandari ambayo inaweza kurejesha fedha zetu mapema?
Kujenga kwa vipande ni kwasababu Bado hatujawa na uwezo wa Kuanzisha ujenzi wa km hizo kwa pamoja na kwa sababu hakuna viability yoyote.
 
Magu alianzisha miradi hakuonja ugumu wa ujenzi.
Ndo hapo wanaposhindwa kutofautisha. Kuna Kuanzisha miradi na kujenga na kama alikuwa anajenga inakuwaje karibia miradi yake yote hasa ya barabara haikukamilika mpaka ije ikamilike kipindi Cha mama Samia.
Mfano tu brt ilianzishwa na kikwete mwaka 2012 na ikamalizika 2015 na mpaka anafariki Miaka karibia 6 alishindwa hata kumalizia brt phase 2 na ikumbukwe kikwete kaondoka madarakani mabasi yashanunuliwa
 
Kisumu Port is Busy.

1729330355064.jpeg
 
Tusiitane majina kwa kuwa mtu katoa wazo linatofautiana na lako au kiongozi fulani,nchi hii ni yetu wote tukubali kupokea mawazo kinzani tuyatafakari ikiwezekana tuyafanyie kazi tuanajenga nyumba moja!
Sorry, nilikujibu wewe? Maana sikumbuki na sielewi kwanini unaniambia hivi.
 
Naona umeamua kupiga watanzania wenzako na ukweli hadi wanataka kukuignore wote😂😂.

Don’t worry, wewe Sema ukweli hata kama utabaki ukiongea pekee yako just say the truth😂
Hawana jeuri ya kubishana na facts.

Ila usisahau Kundustan inaingia mara 4 Kwa Tanzania so ni aibu kusubiria mbeleko ya Bwanawenu USA kuwajengea Mombasa-Nairobi expressway.
 
Ila usisahau Kundustan inaingia mara 4 Kwa Tanzania so ni aibu kusubiria mbeleko ya Bwanawenu USA kuwajengea Mombasa-Nairobi expressway.
Remember Kenya have three times the number of Road network that Vimbistan have even with our small geographical size.
 
  • Thanks
Reactions: gzi
Back
Top Bottom