Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati niache kuvaa official and respectable clothes nivae takataka? Not me 😂😂😂
I can also see the respectable clothes. 👇🏾😂😂😂
IMG_2930.jpeg
 
Umepiga picha corido za wenyewe claiming unaweka mafuta 😂😂😂 waahh.!! 🙌🏾🙌🏾 ni lini utataka kuishi maisha yako.?
Bro mimi sio maskini kama wewe, no wonder unavaa rugs. Hapo hata sio kwa fuel, hapo ni penye huwa napark gari.
 
Sometimes tuwe na uelewa kidogo. Napitia Twitter sakata la Kariakoo naona kuna watu wamekomaa kunaga JWTZ, POLICE TANZANIA.

Like Seriously JWTZ na uokoaji wapi na wapi? Wao wanaitwa tu ikiwa ZIMAMOTO na POLICE wamezidiwa.

Engagement za Twitter sometimes zinawatoa watu credibility siku wakiwa wanaongelea issue muhimu kisa upuuzi kama huo.

Yes Rais ameenda BRAZIL It was planned visit hatukujua Jengo litaanguka, sasa afanyeje while ameconfirm anahudhuria.

Waziri Mkuu hatoshi? Viongozi waliopo hawatoshi?

Me naona Tatizo lipo kubwa sana Hili JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOJI UPUUZI SANA wako FIRE wanafikaje saa 5 like seriously?

Ule moto wa Kariakoo na Karume utadhani wanatokea Bunju.

Walifumue upya Zimamoto
sasa chukulia kwenye lile tukio mtoto mwema abduli nae angekuwepo chini ya kifusi je tungeenda brazil ???

au ndio ng'ombe wa maskini hazai, tusiongee haya mambo as if ni jambo jepes sana ikiwa mpaka sasa idadi ya watu waliofukiwa haijulikani lakini kwa population ya kariakoo ilivo wanaeza fika hata 1000+ je hili ni jambo dogo kwa taifa
 
Back
Top Bottom