Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani jamaa anaokota kibarabara kimoja tena huko marikiti kwa mikokoteni kina pothole anafanya inakuwa issue kubwa yet kwao mtaa wa kifahari barabara ni moja. Just imagine Nairobi kama Muthaiga ingekuwa na barabara za vumbi. Imagine ile maandamano inaweza tokea. 😂 😂
We nawe nini?

Mna barabara gani Ukunyani?

Umekomaa na kapicha hata hujui location.

Kwanza tupishe ukitaka barabara google za MORROCO TUPO HUKO.
 
Aise nimeziangalia hizo barabara za hako ka estate/ mtaa ambao ni extension ya Runda by the way...kwanza ni low quality na hazina pedestrian walkways wakati ni residential area. Halafu mnaita poshy and rich.
Hebu twende kwa richest in Dar mbweni. Utazame barabara zilivyo na sidewalks, wide, clean etc....
NB. Mbweni=Runda, kitsuru,Giligil,karen, Rosslyne, Ridgeway, windsor and Muthaiga. Huku kwetu tunaita mitaa hiyo ndani ya kata/ward mfano Mbweni

I lived In Nairobi and I know what am writting
Bro, either you're sick or you have the kind of patriotism that is sick. Yani uangalie hizi video alafu useme barabara ya pili ni high quality with pedestrian walkways na barabara ya kwanza ni low quality without pedestrian walkways? Punguza bangi bradhee. 😂 😂 😂
Screenshot 2024-11-19 190913.png
Screenshot 2024-11-19 101958.png

Halafu una uhakika ushawai kaa Nairobi? Maanake ukisema Mbweni =Runda, kitsuru (Kitusuru) ,Giligil (Gigiri),karen, Rosslyne, Ridgeway, windsor and Muthaiga wakati Karen pekee ni mara kumi ya Mbweni kieneo inamaanisha hujui unachoongelea.
 
Attachments

  • Screenshot 2023-08-18 140147.png
    Screenshot 2023-08-18 140147.png
    1.1 MB · Views: 13
We nawe nini?

Mna barabara gani Ukunyani?

Umekomaa na kapicha hata hujui location.

Kwanza tupishe ukitaka barabara google za MORROCO TUPO HUKO.
Yani nikitaka kuona barabara nzuri Dar lazima niangalie eneo fulani. This is evidence mji wenu ulio ovyo.

Halafu sio hiyo picha tu, ni vile hiyo ndio picha niliyopata. 50% of Dar ina 0 paved roads. The remaining 50% kuna lami kwa main roads na CBD pekee. Ukitaka lami ya access road lazima uingie kwa gated community amabazo sio nyingi Dar.Kwa mfano, hili eneo la Dar ni 623sq.km (42% of the total area) na hamna barabara ya lami hata moja. a bado mnataka kujilinganisha na Nairobi.
Screenshot 2024-11-19 185145.png

Alafu mbona hujui mji wako? Bado unapinga hapa sii Mbezi? Basi tuelezee hapa ni wapi? 😂 😂

20221124_135741-jpg.2439637
 
View attachment 3156331

0 paved Roads? Unaongea kama nani?
 
Unajua hata kuna mbezi mbili?

Maneno mengi wakati mtu akiingia Nairobi tu ni full uchafu etc

Hebu panda uje ujionee si mna vloggers wenu wanakuja daily?

#AFCON2025MORROCO
 
Hapana hatujawin. Ila Tumequalify mara tatu mfululizoooooooooooooooooooooo
Hakuna tofauti ya Tanzania na Somalia. Now that mmequalify mara tatu mfululizo, ebu sasa tuambie mmewin matches ngapi uko😂😂
 
Talanta alafu hamujulikani mlipo AFCON? Watu wanaenda weka heshima kuwa wana haki ya Kuhost mpo mnazurura viwanja vya watu.

MPO WAPI?

TUPOOOOO MORROCO 2025 JUMUIYA YA AFCON. WAPI WAKUNYAAAAAAAAAA

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Heshima ya kuchapwa games zote za AFCON?😂😂😂
 
Yani jamaa anaokota kibarabara kimoja tena huko marikiti kwa mikokoteni kina pothole anafanya inakuwa issue kubwa yet kwao mtaa wa kifahari barabara ni moja. Just imagine Nairobi kama Muthaiga ingekuwa na barabara za vumbi. Imagine ile maandamano inaweza tokea. 😂 😂
I’m sure penye jamaa anaishi anatembea kilomita kadhaa before akutane na tarmacked road😂😂
 
Hatujawiiiinnn

Tunaenda kuwinnnn MORROCO 2025 NA TUMEFUZUUUUUUUUUUUUUUU

WHERE ARE YOU?
Kenya has more more games. So tafuta wenye hawajaiwin games za AFCON kama nyinyi mringie 😂😂
 
Yani jamaa anaokota kibarabara kimoja tena huko marikiti kwa mikokoteni kina pothole anafanya inakuwa issue kubwa yet kwao mtaa wa kifahari barabara ni moja. Just imagine Nairobi kama Muthaiga ingekuwa na barabara za vumbi. Imagine ile maandamano inaweza tokea. 😂 😂
Msitutoe kwenye reli, tunaongelea afcon now 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom