Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuuliza swali, hapa ni wapi? Wacha kupiga makona.

😂 😂

20221124_135741-jpg.2439637
Lilipaswa kuwa swali langu kwako. Remember me ndio nimeanza kuuliza?
 
Yani nikitaka kuona barabara nzuri Dar lazima niangalie eneo fulani. This is evidence mji wenu ulio ovyo.

Halafu sio hiyo picha tu, ni vile hiyo ndio picha niliyopata. 50% of Dar ina 0 paved roads. The remaining 50% kuna lami kwa main roads na CBD pekee. Ukitaka lami ya access road lazima uingie kwa gated community amabazo sio nyingi Dar.Kwa mfano, hili eneo la Dar ni 623sq.km (42% of the total area) na hamna barabara ya lami hata moja. a bado mnataka kujilinganisha na Nairobi.
View attachment 3156331

Alafu mbona hujui mji wako? Bado unapinga hapa sii Mbezi? Basi tuelezee hapa ni wapi? 😂 😂

20221124_135741-jpg.2439637
Wew jamaa unabishana kwa Google Map.
Mambo mengine ambayo haujui ni bora ukae kimya.

Wew ukiwa YouTube unasema Tanzania imeendelea ukija JamiiForum unasema vinginevyo. Au unatafutaga followers.

Ngoja nikuache labda siku ukifika Dar utabadilisha mawazo yako...mimi nimesubscribe YouTube Channel yako kabisa. Ukikosa sehemu ya kukaa nitakutafutia...tena nitakutafutia mitaa ya ndani huko ili uprove mwenyew kuna lami.
Maana tutabishana mpaka kesho.

Nairobi haina hata km 400 za barabara. Nyinyi mnahesabu 7000km ai! Hata kama ni upikaji huu sio
 
Najua mnaona 400km of paved roads ni mingi ndio maana your biggest city only have 391KM of paved roads😂😂
 
Wew jamaa unabishana kwa Google Map.

Mambo mengine ambayo haujui ni bora ukae kimya.

Wew ukiwa YouTube unasema Tanzania imeendelea ukija JamiiForum unasema vinginevyo. Au unatafutaga followers.

Ngoja nikuache labda siku ukifika Dar utabadilisha mawazo yako...mimi nimesubscribe YouTube Channel yako kabisa. Ukikosa sehemu ya kukaa nitakutafutia...tena nitakutafutia mitaa ya ndani huko ili uprove mwenye kuna lami.
Maana tutabishana mpaka kesho.

Nairobi haina hata km 400 za barabara. Nyinyi mnahesabu 7000km ai! Hata kama ni upikaji huu sio
Kwa hivo Google map inadanganya? Kwa hivo Google map imechagua Dar pekee ioneshe barabara ya vumbi palip na lami wakati miji mingine yote duniani inaonesha hali halisia? Ama Google map inapika data pia maanake nyie ni mabingwa wa kuaccuse watu kupika data. Punguza hasira kijana.

Tanzania is the only country in Africa known for cooking figures.
 
Maswali ya kipuuzi yapi?

Satellite data zingekua zinaeleweka google map isingekua inanipa mazingira ya 2013 Nyumbani Nyamongo.
Sasa ukiquote post yangu alafu uandike "Satellite???" unategemea nikujibu vipi? Hilo ni swali la aina gani?
 
Satellite data zingekua zinaeleweka google map isingekua inanipa mazingira ya 2013 Nyumbani Nyamongo.
Wacha uongo bro, Google maps Satellite view inaupdate every 1 - 3 years. Kwa hivo the oldest satellite image ya Google Maps inaweza kuwa ni 2021.
 
Back
Top Bottom