The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Msafara wa GSM.
Yah man, ila usingewastua wapagawe vzr 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msafara wa GSM.
Kwani vichororo sio barabara? As long as they are tarmacked we count them as paved roads. In Kenya we don’t leave any stone unturned, are you aware that every road in Kibera slum is tarmacked?
Right now we are tarmacking all roads in Korogocho slum
View attachment 3155689
View attachment 3155690
View attachment 3155691
View attachment 3155692
View attachment 3155693
Hao wako na barabara za lami and electricity 2024. Tanzania barabara na electricity ni anasa tu kwanza kwa wale wanaojiweza kabisa.Kuna binadamu kabisa wanaishia hapa 👇👇View attachment 3155761
Kundustan mnaishije Kwa Hali hii? Where is humanity and dignity?
Kenya lami ni right ya mtu, iwe anaishi kwenye mabati ama palatial homes they have rights to have access to tarmac roads.Hakuna haja ya rami wakati watu wanaishi kama nguruwe eneo hilo
I think Tanzania hakuna concept of tarmacking inner and feeder roads, hao wanadhani only Highways ndio zinafaa zipigwe lami😂😂Shida yako unadhani mitaa ya Nairobi inakaa hivi.
![]()
Hii estate yako ni ndogo sana kwa Mbezi beach. Mbezi beach is not just a residential area but also a commercial area.
Halafu hiyo estate yako inafanana na vijiji vya Marangu huko Moshi kilimanjaro. Mazingira na kukata maua vinafanana
View: https://youtu.be/ZEAXaICiIn0?si=Xj9Eq9V4-wWBeurA
Dar is almost thrice Nairobi in size. Huwezi niambia Nairobi ina km 7000 nikakubali...nawe utakuwa haureason kukubali kuwa That town with 696sqkm ina lami 7000km.
Na bado kuna maeneo kibao ya Nairobi hayana lami. For instance hii japo hii tv wanareport kikuyu. Ushenzi tu
View: https://youtu.be/Up0N_PHJRfw?si=5AS0TsgcPIvGbPjE
Aise nimeziangalia hizo barabara za hako ka estate/ mtaa ambao ni extension ya Runda by the way...kwanza ni low quality na hazina pedestrian walkways wakati ni residential area. Halafu mnaita poshy and rich.Unaonyeshwa kwamba Nairobi lami iko kila Corner and NairobiWalker has used Rosslyne kama example kukuonyesha paved roads kila mahali lakini wewe na ujinga wako unahamia ukubwa. Ukubwa wa Dar ni mashamba ya mihogo na huko huwa hakuna barabara hata ya vumbi. Mtanzania kuona lami lazima aende main road😂😂
We punguani Kwa Hayo maisha hata ukiwapa lami Hadi chooni itaongeza vipi livelihood Yao?Hao wako na barabara za lami and electricity 2024. Tanzania barabara na electricity ni anasa tu kwanza kwa wale wanaojiweza kabisa.
Aise nimeziangalia hizo barabara za hako ka estate/ mtaa ambao ni extension ya Runda by the way...kwanza ni low quality na hazina pedestrian walkways wakati ni residential area. Halafu mnaita poshy and rich.
Hebu twende kwa richest in Dar mbweni. Utazame barabara zilivyo na sidewalks, wide, clean etc....
NB. Mbweni=Runda, kitsuru,Giligil,karen, Rosslyne, Ridgeway, windsor and Muthaiga. Huku kwetu tunaita mitaa hiyo ndani ya kata/ward mfano Mbweni
I lived In Nairobi and I know what am writting
Bro, the issue here was to show you that Nairobi estates has roads almost everywhere. In Tanzania only Mbweni estate ndio iko na barabara. Kwanza hiyo mbweni ni ya matajiri na sio fukara wengine kama nyinyi wa hapa JF. In Kenya hadi slum dwellers wako na barabara za lami in their neighborhood.Aise nimeziangalia hizo barabara za hako ka estate/ mtaa ambao ni extension ya Runda by the way...kwanza ni low quality na hazina pedestrian walkways wakati ni residential area. Halafu mnaita poshy and rich.
Hebu twende kwa richest in Dar mbweni. Utazame barabara zilivyo na sidewalks, wide, clean etc....
NB. Mbweni=Runda, kitsuru,Giligil,karen, Rosslyne, Ridgeway, windsor and Muthaiga. Huku kwetu tunaita mitaa hiyo ndani ya kata/ward mfano Mbweni
I lived In Nairobi and I know what am writting
Those people live better than you, do you have electricity in your house?We punguani Kwa Hayo maisha hata ukiwapa lami Hadi chooni itaongeza vipi livelihood Yao?