Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


soko linajengwa na serekali kuu au halmashauri hapo sijaelewa bado ??😂😂

leta miradi ya mikopo ndani ya miaka mitatu ya over 20b usd alaf tuendelee kujisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina 😂😂😂😂😂😂

tuna waziri yuko kwenye fedha nae anamiliki team ya mpira hahahahah
 
zineanzwa kujengwa toka nyerere hzo barabara 😂😂😂😂😂😂

mm hakuna kitu utanidanganya mzee ni kama unajisumbua tu 😂😂😂😂
Nikajua Nyerere & Mwendazake walimaliza kujenga kumbe Bado 😆😆
 
Mnachoshindwa kuelewa ni kuwa nyie mnapokea mishahara mikubwa kwasababu cost of living Kenya ni kubwa sana unlike Tanzania. Hela nyingi inaingia mfuko wa kulia na nyingi inatokea mfuko wa kushoto mwisho wa siku nothing is left in your pockets.
Our purchasing power iko juu kuliko yenu with 1USD I get more products in Tz than in Kenya.
Hivi unajua maana ya purchasing power wewe ng'ombe?😂😂
Tanzania's education is shit.
 
soko linajengwa na serekali kuu au halmashauri hapo sijaelewa bado ??😂😂

leta miradi ya mikopo ndani ya miaka mitatu ya over 20b usd alaf tuendelee kujisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina 😂😂😂😂😂😂

tuna waziri yuko kwenye fedha nae anamiliki team ya mpira hahahahah
Huwezi elewa maana wewe ni kichwa ngumu na hater 😆😆

Kwani Masoko ya kina Mwendazake Yale ya Mwanza,Dom nk yalijengwa na nani?

Trilioni 50 at work via Tactic project
 
wametenga kutoka kwenye mfuko gani niambie miradi inayofanyika usinambie miradi ambayo haipo ni hewa 😂😂😂😂

shida yako ww una mihemko sana ukipewa fact hutaki

over 20b usd ndani ya miaka 3 alaf tunajisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

leta miradi ya over 20b usd in just 3 yrs tucheke pamoja
Wametenga kutoka mifuko ya serikali ambayo Ina over 20b usd.

Au wewe unadhani zimetoka Mbinguni?
 
By that logic Kenya Airways is a Dutch Airline.

The largest shareholder is the Government of Kenya (48.9%), with 38.1% being owned by KQ Lenders Company 2017 Ltd (in turn owned by a consortium of banks), followed by KLM, which has a 7.8% stake in the company.
Unalinganisha 7.8% na 41%? Uko sawa akilini?😂😂
 
hayo madini unayojisifu nayo leo bila maamuzi magumu ya kubadilisha sheria na kujenga masoko ya madini unafkiri ingekuaje ???😂😂😂😂😂😂😂

au ww unafkiri ilikuja kwa bahat nasibu tu, fact haitabadilika hata ufanye nn, jamaa hayupo miaka mitatu na bado anawajambisha tu
Maamuzi magumu ni haya hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8ruLG3tKhA/?igsh=MThvczhwaHhwOGYyaw==

View: https://www.instagram.com/p/C7qi5uGNUQF/?igsh=Y3BxeDlyajJvN2cz

View: https://www.instagram.com/reel/DCTM4tEt3ty/?igsh=MXR0eWdjOGRkbnB3bQ==

Mwisho kubwa kuliko ni hii hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCSDB_BtF91/?igsh=d3B0ZzVkOHl4aTNx

Hizo blaa blaa zako ni nonsense
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

so ulidanganywa tozo ya miamala inakwenda wapi???

au tuseme tarura iko kwenye madeni pia ??
Mimi sidanganywi na mtu yeyote ninajua.

Tozo ya miamala inafanya kazi ifuatayo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB8tOxktBdw/?igsh=dWw5dms3cDI0YTl1

Na matokeo yake ni kama haya hapa ,on top of other sources kama RISE,TACTIC,Agri Connect,DMDP,BRT(from 20b usd) 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCZQ10jtNH9/?img_index=1&igsh=MXhnaWxxOTNqczVmcQ==
 
Back
Top Bottom