Aisee mwenzako kanielewa nini nimelenga.So tuwache kutumia magari ama?
End of discussion.
Aisee mwenzako kanielewa nini nimelenga.So tuwache kutumia magari ama?
Amekuambia amekuelewa?Aisee mwenzako kanielewa nini nimelenga.
End of discussion.
Abiria wakenya?😂😂🤣.
Ingekuwa mna abiria JKIA haingekuwa inahandle more passengers than the number of all passengers handled by all Tanzanian airports.
Burundi kuna Jambi Jet, Burundi kuna KQ.Mbona haziendi Burundi kama abiria ni wenu
Punguza wenge,ni mapema sana.Kuna mtu anaeipinga sgr kama wewe kwa mtu aliye na akili timamu anafahamu reli ndio mkombozi sio maroli yanayo haribu barabara acha kaziendelee mwisho wa siku utaelewa tu nilijua ungepinga wakajenge barabara
Oyaa msalato sio poa mzee, hakuna airport kama hiyo East and central Africa, hata JNIA ikasome.
Punguza wenge,ni mapema sana.
Pili elewa mantiki yangu,sipinga Sgr kama Sgr Bali napinga Sgr kama kipaombele over barabara.
Barabara zikamilike kwanza ndio Sgr zifuate maana kichocheo Kikuu Cha Uchumi na uhitaji wa Umma ni Barabara
Sawa kenge nimekupata 😆😆Kenge ni kenge tu na mbuzi ni mbuzi huwezi vibadilisha
I eat better food than you. Najua nikianza kuwaonyesha mtasema nina utoto, wewe endelea kula mhogo cause that’s what you can afford.Kwanza umekula maake inawezekana njaa inakusumbua hakuna siku hata moja akili yenye njaa ikawaza maendeleo ndiyo maana viongozi wenu wajenga miradi kinjaa njaa
I eat better food than you. Najua nikianza kuwaonyesha mtasema nina utoto, wewe endelea kula mhogo cause that’s what you can afford.
Alafu ni maendeLeo gani unaongelea when Kenya is more developed than Tanzania?
Kama huwezi kuchanganua relationship between population density na number of cars basi elimu yenu ni duni sana. Maana mwenzako alijinasibu kuwa uwingi wa foleni za magari Kenya ni mkubwa na akaenda mbali kuwa hii inaonesha kuwa Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania ndio nikamjibu hivyo.Wah!😳
Is this how Tanzanians reason? How is population density related to number of cars in a particular country?
Aren't we just supposed to use vehicle registration data to know the number of cars in Kenya and Tanzania? How does population density come in in this case?
Mnachoshindwa kuelewa ni kuwa nyie mnapokea mishahara mikubwa kwasababu cost of living Kenya ni kubwa sana unlike Tanzania. Hela nyingi inaingia mfuko wa kulia na nyingi inatokea mfuko wa kushoto mwisho wa siku nothing is left in your pockets.Ingekuwa ni hivyo hawangekuwa wanapokea mishahara midogo ikilinganishwa na wenzao kutoka Kenya
We have commuter rail Service. So stendi ndio development? Kweli watanzania ni wajinga😂😂🤣Moja ya maendeleo ni public transport vipi nairopori mnao kama brt na standi za kisasa nionyeshe hata moja huenda nimesahau
Hakuna mtu anakataa hilo because more than 70% population ya Kenya iko concentrate in a small area equivalent to 2 or 3 regions of Tanzania.bado kenya inabaki kua na magari mengi kwenye eneo ndogo kuliko Tanzania