Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzitoe wapi wakati ndio kwanza mnajenga saizi? Hunaga akili wewe
Uzuri unaongea na machungu wakati mimi nakudunga na factsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

Total number of Hospitals in Tanzania is only 8,881
Screenshot_20240310-193534_1.jpg



Total number of hospitals in Kenya is twice that of Tanzania at 16,517

Screenshot_20240310-195535.png
 
Are you aware that Tanzania only have 12,000km of paved roads while Kenya is already at 23,000km? That's double of what you have in backward country. Jengeni barabara muache kuwa na highways za matope na vumbi.
Hizo barabara unataja mko nazo tukiziomba utazileta.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au hizo km 23k ni za vumbi.?
 
Pole Kwa ujinga wako, Tarura Haina fund ya tozo ya miamala Bali tozo ya Mafuta,fake mind.

Je hiyo ndio source pekee ya Tarura? Unajua hizi lami za Vijijini zinajengwa Kwa tozo Yako? RISE ni tozo ya miamala? Wacha kuropoka.

Trilioni 50 at work in Iringa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCJCm4pN84N/?igsh=bmJ1a2k4bDVlNTdn

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

so ulidanganywa tozo ya miamala inakwenda wapi???

au tuseme tarura iko kwenye madeni pia ??
 
Weka zako wewe hater?

Wacha wivu wa legacy kuzikwa πŸ˜†πŸ˜†

Trilioni 50 at work πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCX_OvKoLY0/?igsh=MWI3djQybHluajc5cQ==

hayo madini unayojisifu nayo leo bila maamuzi magumu ya kubadilisha sheria na kujenga masoko ya madini unafkiri ingekuaje ???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

au ww unafkiri ilikuja kwa bahat nasibu tu, fact haitabadilika hata ufanye nn, jamaa hayupo miaka mitatu na bado anawajambisha tu
 

wametenga kutoka kwenye mfuko gani niambie miradi inayofanyika usinambie miradi ambayo haipo ni hewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

shida yako ww una mihemko sana ukipewa fact hutaki

over 20b usd ndani ya miaka 3 alaf tunajisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

leta miradi ya over 20b usd in just 3 yrs tucheke pamoja
 
Back
Top Bottom