Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui unazungumzia miaka gani? Kwa kuangalia hatq exports za Tanzania kwenda Uganda imeizid Kenya kwa zaid ya Usd 800mil yaan mara mbili, na Bado ukiangalia Bado itaendelea kupanda maana gharama ya uzalishaji Kenya inazid kupaa sana , miaka ya nyuma hatukuwa tunauza bidhaa zozote za viwandan Uganda ila Leo hii karibia viwanda vya bidhaa za ujenzi vyote vinasoko uganda
Production cost Tz iko chini, improved transport infrastructure, increased production hivi vyote vitazidi kuongeza value ya exports to Uganda in the near term.
 
Mbona isipunguze za developed countries like Japan, China and USA? Their public transport system is far better than any country yet they still experience the worst traffic jam.
Those are mega cities na bado wanafanya jitihada kila siku ku improve public transportation. Sasa wewe kijiji cha watu 3m tuu umelemewa traffic 🤣🤣🤣
 
Nyangau anajaribu kufunika jua na kaniki 🤣🤣🤣🤣
Angeruhusiwa tuu lazima angeleta mapichapicha ya Julius Nyerere International Airport na kulinganisha na Jomo Kenyatta International Airport
 
Hiyo gari ina contravene traffic rules hizo colours zenyewe tuu ni traffic offence let alone the chassis used to make the bus.
Thats an Isuzu NQR chasis
Certified and used worldwide for various uses eg Light trucks, Micro buses etc

Sijui ni sheria gani hizo za traffic mnatumia Tanzania
 
Hiyo gari ina contravene traffic rules hizo colours zenyewe tuu ni traffic offence let alone the chassis used to make the bus.
Tanzania must be a very boring country, what colors should i paint my vehicle kulingana na sheria ?
 
As long as Kenya Airways have shares there it is owned by Kenyans.
By that logic Kenya Airways is a Dutch Airline.

The largest shareholder is the Government of Kenya (48.9%), with 38.1% being owned by KQ Lenders Company 2017 Ltd (in turn owned by a consortium of banks), followed by KLM, which has a 7.8% stake in the company.
 
Back
Top Bottom