Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua sheria ya reflective materials barabarani. What colours are required and on what side of the car and their sizes?
Sasa wewe gari lote unapaint hovyohovyo with various reflective colours road safety mnaichukuliaje huko kwenu?
Iko sawa Kenya as you can see it has started a whole matwana industry
 
Ebu tuonyeshe hiyo tucheke kidogo. Alafu basi za public transport tunazo pia, ama umeskia watu hutembea kutoka town kuenda makwao?
Embu tuwekee hizo buses za public zikiwa kwenye public stations tuzione tusije tukawa tunabishania kitu ambacho hakipo 😁
 
Embu tuwekee hizo buses za public zikiwa kwenye public stations tuzione tusije tukawa tunabishania kitu ambacho hakipo 😁
Mlisema hatuna public buses, na umebadilisha gear?😂😂🤣
 
Hiyo painting ndio mmekuwa mkijaribu lakini creativity imewashinda mkabaki na kubandika tu stickers😂😂
Nani apake gari rangi za hovyo hivyo.? Hili sio taifa la vichaa kama huko kwenu.
Wakati Tanzania still have many highways that are not tarmacked, this is the kind of roads in Kenyan poorest region.

View attachment 3153151
Hizi ni takataka gani tena.? 😂😂😂
 
Nani apake gari rangi za hovyo hivyo.? Hili sio taifa la vichaa kama huko kwenu.

Hizi ni takataka gani tena.? 😂😂😂
Wewe baboon mamako alishakupea jibu ya mwenye alikuwa babako?

IMG_0519.jpeg
 
Kwani Mimi sikukuletea ushahidi wa Ujenzi upya wa shule? Shule ya Watoto wa kawaida inageuzwa English medium ya serikali na hapo kulipia kunaanza hicho ndichi kimefanyika ila nyie wazushi msivyojielewa mnakuja kusema eti imekuwa, nonsense
englisha medium alaf private 😂😂😂😂
mbona wameacha kuuza sasa
 
Back
Top Bottom