much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Hey slum dweller uko fine?Unalinganisha 7.8% na 41%? Uko sawa akilini?😂😂
Hey slum dweller uko fine?Unalinganisha 7.8% na 41%? Uko sawa akilini?😂😂
kumbe sio maendeleo basi wananchi wanahitaji zaidi maendeleo kwanzaBila shaka sio tuu ni Maendeleo Bali ni fursa Kwa Diplomasia ya Nchi,Heshima Kwa Rais na Nchi na kufungua Tanzania Kimataifa
Mimi sidanganywi na mtu yeyote ninajua.
Tozo ya miamala inafanya kazi ifuatayo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB8tOxktBdw/?igsh=dWw5dms3cDI0YTl1
Na matokeo yake ni kama haya hapa ,on top of other sources kama RISE,TACTIC,Agri Connect,DMDP,BRT(from 20b usd) 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCZQ10jtNH9/?img_index=1&igsh=MXhnaWxxOTNqczVmcQ==
Kwani Kuna tatizo mtu akifungua biashara nje ya mipaka ya nchi yake!?Naweza kukupa mifano ya wafanyabiashara walio hamisha baadhi ya biashara zao nchi nyingine kipindi cha Magu kama Zachariah Hanspope Zambia, Petrofuels Zimbabwe, Botswana na Namibia, Mount Meru Rwanda the list is long sasa wewe leta list ya watu waliohamishia biashara zao Uganda.
Tanzania Kuna kampuni ngapi Zina operate na Bado haijafa?unashangilia kifo cha airtanzania kwa route ya nairobi, wakenya wajanja sana
Ndio na ndio zinafanya kazi zifuatazo 👇👇so kama tozo inafanya kazi hio hzo over 20b usd zilikopwa kwa miradi ya TARURA tena??😂
Kuna Rais amemwaga maendeleo Nchi hii kumzidi Samia? Yupi hiyo?kumbe sio maendeleo basi wananchi wanahitaji zaidi maendeleo kwanza
Kichaa huyo analeta siasa zake za chadema.Kwa fact ipi mzee.? Umeulizwa kenya kuna train za umeme.?
Kuna mtu anasema wafanyabiashara wanakimbilia kuifungua biashara Uganda tumwamini yeye Yuko benk, ila kashindwa prove kwa Nini export kwenda Uganda zinazidi kupandaKwani Kuna tatizo mtu akifungua biashara nje ya mipaka ya nchi yake!?
Kwani mnalenga nini mkuu maana Bado sijawaelewa.
Kwanza huyo ni mkenya kajiunga Nov 9, 2024.Kwa fact ipi mzee.? Umeulizwa kenya kuna train za umeme.?
Watanzania huwa hawaelewi what individual purchasing power is always is, very foolish creatures 😂😂Hivi unajua maana ya purchasing power wewe ng'ombe?😂😂
Tanzania's education is shit.
Umezoea kukopa vitu unadhani wote ni kama wewe? Wewe endelea kukopa mapicha ujaribu kudanganya nao watu.Economy ambayo mnashindwa lipa mishahara ya wafanyakazi wenu mpaka mkope
Look at the kind of cars landing at Mombasa Port. Hii ingekuwa kule kwa wachawi magari yangekuwa yanashushwa ni ya miaka ishirini😂😂
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1857400647303266321
Teargas ikufikie huko kibera slum 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCV7QD5IoHJ/?igsh=OXBzaHV5bGI0MHMy
Cc ichoboy01
Levels za kuimport 30yrs old cars?Sisi tuko levels hizi kijana.
![]()
Another cargo ship sets new record at Dar es Salaam Port
The first consignment of its kind, according to details will arrive at Dar Port from Singapore after a journey of 10 days.www.thecitizen.co.tz