Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Refurbishment is one thing maintenance is another. We all know how you maintain things in Kenya.
Yet you all dream of having such facilities in Tanzania outside Dar. No wonder Tanzania still lag behind Burundi in infrastructure development index.
 
soko linajengwa na serekali kuu au halmashauri hapo sijaelewa bado ??😂😂

leta miradi ya mikopo ndani ya miaka mitatu ya over 20b usd alaf tuendelee kujisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina 😂😂😂😂😂😂

tuna waziri yuko kwenye fedha nae anamiliki team ya mpira hahahahah
Huu ni mradi wa kuboresha miji Tanzania under Central government inaitwa TACTIS kama sijakosea.
 
Kuna Rais amemwaga maendeleo Nchi hii kumzidi Samia? Yupi hiyo?

View: https://www.instagram.com/reel/DCa1S2Pt0tD/?igsh=a3FmMDc1ZDNkeW4w

Ni mwendo wa lama Vijijini za Samia 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBdklV1tGrJ/?igsh=MWFyMjlsNmtsYTEzaw==

maendeleo gani?? ya kumalizia miradi au maendeleo gani unayosema ww ??

maendeleo meli ya mafuta inakaa bandarini mwezi mzima alaf damage yake wanafaidila watu wachache mzigo unarudi kwa wananchi hayo ndio maendeleo???😂😂😂😂😂😂😂

au maendeleo ya mikopo ya over 20b usd in just 3 yrs huko kodi na tozo kila kona 😂😂

naskia kuna gorofa limekwenda chini kariakoo vp waziri anasemaje bado yuko ofsini???? au tushangilie tu

View: https://www.instagram.com/reel/DCbE46qsmEL/?igsh=aHlrczJjb3VnZmlx
 
tuletee ushahidi tunasubiri 😂😂😂😂😂
Anafikiri Japan mjinga. Mbona magari ya Uganda yanapitia Mombasa lakini bado wametoa stats za magari yanayoenda Uganda from Japan.
List inachukuliwa from the bill of lading kama inaenda Malawi bill of lading itasoma gari inaenda malawi, Lilongwe port of discharge Dar es salaam. Hivyo hivyo kwa Ugandan cars bill of lading itasoma for instance Kampala, Uganda port of discharge Mombasa.
 
Hivi unajua maana ya purchasing power wewe ng'ombe?😂😂
Tanzania's education is shit.
Wewe ndama kwa dola moja mimi napata kilo 2 za unga wewe unapata kilo 1 nani ana purchasing power kubwa hapo? Au elimu yenu inawadanganya kuwa purchasing power inakuwa pegged to the strength of a currency? Mama ngina education ni mavi kabisa.
 
Anafikiri Japan mjinga. Mbona magari ya Uganda yanapitia Mombasa lakini bado wametoa stats za magari yanayoenda Uganda from Japan.
List inachukuliwa from the bill of lading kama inaenda Malawi bill of lading itasoma gari inaenda malawi, Lilongwe port of discharge Dar es salaam. Hivyo hivyo kwa Ugandan cars bill of lading itasoma for instance Kampala, Uganda port of discharge Mombasa.
Najua hampendangi kuambiwa ukweli😂😂🤣.

Out of the total 4,041 cars, only 20% belong to Tanzania and those 20% are of old cars.

1731742685018.png
 
Wewe ndama kwa dola moja mimi napata kilo 2 za unga wewe unapata kilo 1 nani ana purchasing power kubwa hapo? Au elimu yenu inawadanganya kuwa purchasing power inakuwa pegged to the strength of a currency? Mama ngina education ni mavi kabisa.
Hapa tunaongelea individual purchasing power and not currency purchasing power.
 
Unataka kutuaminisha kuwa dutchess hawamiliki KQ ama unamaanisha nini hapa?
Safaricom ownership
Kwa mentality Yao safaricom sio kampuni ya kikenya sababu Ina hisa za 40 huku ikiwa ndo inaongoza kwa kuwa na shares nyingi

Our shareholding structure changed during the year and is currently comprised of the Government of Kenya (35 per cent), Vodacom (35 per cent), Vodafone (5 per cent) and free float (25 per cent).
 
Hapa tunaongelea individual purchasing power and not currency purchasing power.
We kiazi purchasing power inakuwa measured na reference currency and the same currency is compared in purchase of basket of goods and services in multiple countries.

You cannot measure purchasing power na local currency on a local economy. But you can get a hint when you compare your currency to TZS. If you come to Tz with KSh you will get more goods than what you would have got while in Kenya.

Lastly; when we talk of purchasing power in economics we talk about people purchasing power au unafuu wa watu kumudu maisha.
 
Safaricom ownership
Kwa mentality Yao safaricom sio kampuni ya kikenya sababu Ina hisa za 40 huku ikiwa ndo inaongoza kwa kuwa na shares nyingi

Our shareholding structure changed during the year and is currently comprised of the Government of Kenya (35 per cent), Vodacom (35 per cent), Vodafone (5 per cent) and free float (25 per cent).
It is a foreign owned company 😁
 
Kwani Kuna tatizo mtu akifungua biashara nje ya mipaka ya nchi yake!?
Kwani mnalenga nini mkuu maana Bado sijawaelewa.
Kuna jamaa mmoja kasema yeye anafanya kazi bank na anajua wafanyabiashara wengi wa Tanzania wamekimbilia Uganda. Tukamwambia alete ushahidi kaishia mitini.
 
Back
Top Bottom