Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie Kenya mna magari Mengi wapi? Hata Ukuchukuwa Tu mfano wa logistic companies za kusafirisha Mizigo na habiria Tanzania
Mizigo na habiria. Tanzania ni nyingi Sana na Kila siku wanaingiza magari. Nenda kwenye mining sector, cement industries.
 
Kundustan Kwa wivu wataita cheap Chinese boxes 😆😆

Tunduma 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCXUarHoZpq/?igsh=MWp2ZHp3M3ozMmhpdA==
20241115_000005.jpg
20241115_000010.jpg
 
wivu mm wann utanisaidia nn hapa tunaongea facts unafkiri bila kuweka mazingira wezesh kwenye sekta ya afya aliofanya mageuzi makubwa sana magufuli haya unayoyaona leo yangekuwepo, hospital za umma zilikua hazina hata panadol alaf leo tumesahau mageuzi makubwa alioyafanya, hakuna sekta inayofanya vzr nchii ambayo haina athari ya magu hakuna na haitakuwepo

mm mwenyewe nilikua situmii hospital za serekali kwasababu ya urasimu lakini kipindi chake nilijaribu kwenda amana hospital watu walinyooka kama ruler na dawa zote zilikuwepo na huduma zote unapata kwa wakati na nafuu na hakuna x ray mbovu wala MRI 😂😂😂😂😂
Weka zako wewe hater?

Wacha wivu wa legacy kuzikwa 😆😆

Trilioni 50 at work 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCX_OvKoLY0/?igsh=MWI3djQybHluajc5cQ==
 
Back
Top Bottom