Shule za serikali sio private weka hapa tuone kelele za nini?Bro, Kenya tuna shule bwana. Hizi vitu unatupostia hapa ni uchafu.
Shule za serikali sio private weka hapa tuone kelele za nini?Bro, Kenya tuna shule bwana. Hizi vitu unatupostia hapa ni uchafu.
Hata ile shule ya msingi Bunge ingeuzwa tu, maana ipo centre kabisa, na kitu kingine more economical kingefanyika, watoto wanatoka mbali kwenda kusoma pale, sasa shule zipo za kutosha, watoto wasome walking distance Tu kutoka majumbani kwao.shule za umma sasa inauzwa 😂😂😂😂
kuna shule moja iko pale kurasini naskia na yenyewe iko mbioni kuuzwa
kweli over 20b usd in 3 yrs inafanya kazi
1. Superdoll since 80shebu tutajie hvo viwanda vya kuonganisha trailer na miaka yake ya kuanzishwa 😂😂😂😂😂😂
nitajie hvo viwanda viwili vya kuunganisha magari na miaka yake yakuanzishwa ili tuwe na ushahidi 😂😂😂😂😂
Kwani hiyo nimepost Iko kwa hewa?Leta real pictures on the ground!
Kunyaland yote hamuwezi fika hata nusu ya construction rate ya Dodoma
View: https://vm.tiktok.com/ZMhpPWAd9/
Ati sufficient electricity? With a connection rate of 40%? By the way do you even have electricity in your house?Can you mention even one LDC country with sufficient electricity?
They will remain LDC for good.Thats why Tanzania is considered an LDC country
Unafahamu kuna watoto wengi maeneo ya Upanga west wanaohitaji shule ya karibu kusoma? Forodhani iliyochukua baadhi ya watoto wa maeneo hayo ilirudishwa kanisani, sasa Bunge ikiuzwa watakwenda wapi?Hata ile shule ya msingi Bunge ingeuzwa tu, maana ipo centre kabisa, na kitu kingine more economical kingefanyika, watoto wanatoka mbali kwenda kusoma pale, sasa shule zipo za kutosha, watoto wasome walking distance Tu kutoka majumbani kwao.
Tulishawapiga kwenye shule za serikali sema ujeuri wao tu, waambie waanzishe hiyo battle kama watakubali uone. Kenya hawaiwezi Tanzania kwenye shule hata kwa chembe, na sio Kenya tu bali nchi nyingi Africa hawatuwezi hata kwa mbali, ni vile tu watanzania sio watu wa ku brag, ndiyo maana unaona tunapendwa sn. Kwa mfano angalia sgr inavyong'aa lkn tumekaa kmy, ni kwasababu sisi sio washamba.Sisi hatujengi miundombinu kama miradi ya wanasiasa kupiga hela tunajenga panapo uhitaji.
NairobiWalker Kuna Mkundustan mmja alidai wao Wana Shule Kali akashindwa kuweka picha kumbe ndio kwanza wanajenga madarasa 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCTSrxRPosy/?igsh=b3R4MDAzNXgxcHdu
Kundustan mna shule? Ziko wapi? 😂😂Bro, mambo ya shule nilikuambia achana nayo. Tulishawapiga mara nyingi sana humu hiyo sector.