Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Mkijenga any flyover, interchange na overpass outside Dar njoo tuongee.Jibu swali langu kama huwezi nyamaza mwenzako alijibu.
Mkijenga any flyover, interchange na overpass outside Dar njoo tuongee.Jibu swali langu kama huwezi nyamaza mwenzako alijibu.
Kupata interchange kama hiyo Tanzania ni mtihaniHili andaki ni la nini hasa?
Hili ni andaki wewe maku!Kupata interchange kama hiyo Tanzania ni mtihani
Ni huyu maku ChoiceVariable ndio ana post mambo ya Mbeya, Katavi na kila aina ya ujinga hap!Mkuu kuna watu wanaharibu sn hii thread, kutwa kucha wanapiga kampeni humu wakati thread za kampeni zipo, cjajua ni kwnn hawapigwi ban. Wanatuharibua hii thread na kuna wadau washaingia mkenge, mm cku hizi hata kuingia jf naona uvivu mana unakuta mtu anaweka miradi isiyohusika kabisa na thread, ni sawa kuweka mara moja moja lkn kwa sasa imekuwa too much, inakera sn, hata cc tutatoka humu tuwaachie wao jf mana mm jf thread yangu ni hii hii, sasa wakiiharibu kama hivi nakuwa sina jinsi ya kubaki humu.
Na wewe na wajinga wenzako mnapo post mambo ya Kisii,sijui Langa'ata nk ulitakaje labda?Ni huyu maku ChoiceVariable ndio ana post mambo ya Mbeya, Katavi na kila aina ya ujinga hap!
Najua kinachowakera Sugu gang Hadi mnaweweseka sio kingine Bali ni hiki hapa 👇👇Mkuu kuna watu wanaharibu sn hii thread, kutwa kucha wanapiga kampeni humu wakati thread za kampeni zipo, cjajua ni kwnn hawapigwi ban. Wanatuharibua hii thread na kuna wadau washaingia mkenge, mm cku hizi hata kuingia jf naona uvivu mana unakuta mtu anaweka miradi isiyohusika kabisa na thread, ni sawa kuweka mara moja moja lkn kwa sasa imekuwa too much, inakera sn, hata cc tutatoka humu tuwaachie wao jf mana mm jf thread yangu ni hii hii, sasa wakiiharibu kama hivi nakuwa sina jinsi ya kubaki humu.
Nishakuzoea ukikosa hoja.Mkijenga any flyover, interchange na overpass outside Dar njoo tuongee.
Kenya kuna foleni kweliNaomba nikuulize swali moja tu na unijibu honestly.
Licha ya ma flyover yaliyojaa Kenya je kati ya Kenya na Tanzania yenye flyover chache wapi Kuna foleni kupitiliza!??
Jibu honestly tafadhali.
Mwingine anaargue eti Kenya kuna kuna traffic jam kuliko danganyika na tumejenga flyover kila mahali as if china or US kwa traffic jam is a joke to himThat’s an excuse for not having flyovers and interchanges outside Dar is slum. Anyway akikuonyesha nitag😂
Kenya ndio kuna magari mengi kuliko Tanzania ila sio kwa uwiano mkubwa.Kenya kuna foleni kweli
Nawewe nijibu kati ya Kenya na Tanzania ni wapi kuna magari mengi?
Jubu honestly tafadhali
Hiyo inafaa kukueleza jambo Fulani: kwamba Kenya kuna magari mengi kuliko TanzaniaNishakuzoea ukikosa hoja.
Ila Wacha nikujibie,licha ya mabarabara ya juu mliyojenga kuliko sisi Bado KENYA NDIO NCHI YENYE FOLENI NYINGI UKANDA HUU WA AFRIKA MASHARIKI.
Mwambie foleni hupatikana hadi US citiesKenya kuna foleni kweli
Nawewe nijibu kati ya Kenya na Tanzania ni wapi kuna magari mengi?
Jubu honestly tafadhali
Hiyo kiingereza rahisi ndio imempiga chenga. They usually don't understand anything written in EnglishSo mnafurahia ati mmepita Kenya in importing Ugandan products? Kweli kukosa akili ni shida😂😂🤣