ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Wewe upo sawa?Wewe haupo Sawa kichwani.
Wewe upo sawa?Wewe haupo Sawa kichwani.
Niliskia hakuna project inaendelea Kenya. Are you also aware that entire Tanzania only have 3 interchanges?
Hatusumbuki na vimradi vidogo vodogo mkuu, we are busy linking our regions na project kubwa , utaishia kuziona tu kwa picha 👇🏾 tunatoka kutumia hizi ferriesNiliskia hakuna project inaendelea Kenya. Are you also aware that entire Tanzania only have 3 interchanges?
Sawa baboon.Hatusumbuki na vimradi vidogo vodogo mkuu, we are busy linking our regions na project kubwa , utaishia kuziona tu kwa picha 👇🏾 tunatoka kutumia hizi ferries View attachment 3150638View attachment 3150641tunakuja huku 👇🏾View attachment 3150642View attachment 3150643Uko busy kutaja taja interchange. 😂😂😂 Dar iko na interchange almost 10 hivi. we umeng’ang’ana tatu
Kwasasa Dar imeshapata tena construction boom mzee. 80 high rise buildings in Kariakoo alone. 👇🏾 16 buildings under construction already. 80 projects submitted for joint ventures with NHC. Hii ni kwaajili ya kuibadilisha kabisa skyline ya Kariakoo. 😂😂 sasa sijui utatuambia nini.
Sasa buildings za 5 floors ndio unapigia kelele hapa? Do you have a 20 floor building coming up anywhere in Tanzania? What about 25 floors? What about 30 floors? Do you have a 35 floor coming up in Tanzania? What about 40 floors?Kwasasa Dar imeshapata tena construction boom mzee. 80 high rise buildings in Kariakoo alone. 👇🏾 16 buildings under construction already. 80 projects submitted for joint ventures with NHC. Hii ni kwaajili ya kuibadilisha kabisa skyline ya Kariakoo. 😂😂 sasa sijui utatuambia nini.
Umeona wapi hizo buildings za 5 floors.? 😂😂😂 au kama kawaida yako kujitia ukichaa.?Sasa buildings za 5 floors ndio unapigia kelele hapa? Do you have a 20 floor building coming up anywhere in Tanzania? What about 25 floors? What about 30 floors? Do you have a 35 floor coming up in Tanzania? What about 40 floors?
Mkuu kuna watu wanaharibu sn hii thread, kutwa kucha wanapiga kampeni humu wakati thread za kampeni zipo, cjajua ni kwnn hawapigwi ban. Wanatuharibua hii thread na kuna wadau washaingia mkenge, mm cku hizi hata kuingia jf naona uvivu mana unakuta mtu anaweka miradi isiyohusika kabisa na thread, ni sawa kuweka mara moja moja lkn kwa sasa imekuwa too much, inakera sn, hata cc tutatoka humu tuwaachie wao jf mana mm jf thread yangu ni hii hii, sasa wakiiharibu kama hivi nakuwa sina jinsi ya kubaki humu.Hii thread ingekuwa imekufa kitambo bila wakenya wenyewe, maana kwa kiasi kikubwa wao ndio wanaibeba. Ni battle kati ya Dar es Salaam na Nairobi, lakini usishangae kuikuta Katavi humu ndani sio kwamba kipindi cha nyuma sehemu nyingine za tanzania nje na Dar es saalam zilikuwa haziwekwi humu ila kwa sasa ni too much Guys we gone deep, battle hii imeingiliwa na machawa na watu wenye umuhimu kama RRONDO Kapepo Chamoto Lwiva LURIGA TEMLO DA VINCA Naton Jr Simon tuusan MOTOCHINI Walker255 dickchiller babayao255 Ngokongosha
naona wameisha anza kuipuuza nawengine wamehepa kabisa kama MK254 na wengine wengi kutoka kenya na kwasasa uhai wa thread umebakia kwa ichoboy01 The best 007 Mgagaa na Upwa game over Sama boy 255
Kariakoo is full of high rise buildings kinachofanyoka now ni kuvunja zile fupi hizo za 5 floor to replace them with 20+ floors buildings. We kaa hapo upate maumivu.. and remember it’s 80 structures that are coming up. 😂😂😂Sasa buildings za 5 floors ndio unapigia kelele hapa? Do you have a 20 floor building coming up anywhere in Tanzania? What about 25 floors? What about 30 floors? Do you have a 35 floor coming up in Tanzania? What about 40 floors?
80 buildings with a value of Ksh 1B or $10M ni nini kama sio buildings za 5 floors and below? Meaning each building is approximately Ksh 25M or $250,000. The value of approved buildings in Nairobi in six months alone is almost $1B.Umeona wapi hizo buildings za 5 floors.? 😂😂😂 au kama kawaida yako kujitia ukichaa.?
There is no building of 20 floors and above coming up in Tanzania, kama iko I dare you to post a picture.Kariakoo is full of high rise buildings kinachofanyoka now ni kuvunja zile fupi hizo za 5 floor to replace them with 20+ floors buildings. We kaa hapo upate maumivu.. and remember it’s 80 structures that are coming up. 😂😂😂
Hiyo article nilipost umesoma.? 😂😂😂 again kumbe Tz sh 227 billion = to $10 million.?80 buildings with a value of Ksh 1B or $10M ni nini kama sio buildings za 5 floors and below? Meaning each building is approximately Ksh 25M or $250,000 The value of approved buildings in Nairobi in six months alone is almost $1B.
View attachment 3150676
Kariakor ishindane na Kakamega. Kakamega is even building more buildings taller than Kariakor and the value is also higher than Kariakor 5 floors buildings.Hiyo article nilipost umesoma.? 😂😂😂 again kumbe Tz sh 227 billion = to $10 million.?
Sijamaliza subiria nikupe dozi ya Matumizi ya Trilioni 50,Wacha wenge 😁😁
Ruvuma 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAiWcnDt6rr/?igsh=MThqbHB0bWlkM3Vtdw==
Are you aware that in 2023 buildings worth $2B were approved in Nairobi alone? We will repeat the same feet this year.Hiyo article nilipost umesoma.? 😂😂😂 again kumbe Tz sh 227 billion = to $10 million.?