Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kweli sipendi sana mijadala hii ya kurumbana wenyewe kwa wenyewe kwasababu inawapa wakenya muda wa kupumua. Nitasema tuu, wanaposema 'cash' haina maana wanaenda na maburungutu ya dola bali pesa inatumwa electronically ambayo siyo mkopo wenye riba. Hivyo bado wanaweza ku ifuatilia ilivyokwenda na hiyo hoja yako ya wizi kwasababu ya cash ni mfu.

Naomba niishie hapa kama kuna hoja kama hii kwenye majukwaa mengine ni tag nitakuja tujadiliane.
Toka muanze kujadiliana mie nilishaona hakuna mwenye hoja kwa hao wanaomponda Magufuli.
Hoja zao za kitoto sana,moja wapo hii uliyomkosoa sasa hivi.
Mkuu achaneni nao,ila hakuna asiyefahamu Msukuma ni Legend uje umfananishe na mama wa kizanzibari utakua unaugua ukichaa uliokomaa.
 
Assad ni mhuni na mdini tu hakuwa mtu safi hata kidogo ufisadi wote ulofanyika kipindi Cha Dau yako ofisini ukihusisha kampuni ya quality group hajawahi hata kuutaja
Uhunimna udini ulikuja baada kuibua ufisadi wa 1.5T si ndio? 😂😂😂😂
 
Those EMU has been there since last year, there is nothing new. You have been repeating the same old shit you have been posting here everyday.
Najua unaumia sana. EMU zimeanza kuingia bandarini mwezi wa nne mwaka huu.

Operation za EMU zimeanza 01 Nov 2024.

Tupatie uzinduzi wa kitu chochote kipya kimetokea kenya mwaka huu
 
Najua unaumia sana. EMU zimeanza kuingia bandarini mwezi wa nne mwaka huu.

Operation za EMU zimeanza 01 Nov 2024.

Tupatie uzinduzi wa kitu chochote kipya kimetokea kenya mwaka huu
Miezi post hapa kila siku, there is no new project huwa mnapost, just repeating the older ones.

Have you ever seen this project posted anywhere here? Have even ever heard of it?

This is a power project going on in Naivasha.


View: https://x.com/StateHouseKenya/status/1849445054277972447

1731050055322.jpeg
 
Back
Top Bottom