Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Talanta Stadium, wengine bado wanapima mchanga.
View: https://x.com/OleItumbi/status/1854657980773314787
View: https://x.com/OleItumbi/status/1854657980773314787
The best 007 hutamuona humu leo 🤣🤣🤣Utooooooooooooooooo
Umeamua kuomba msaada Uganda 🤣🤣🤣
Hii Barabara ilipanuliwa na kujengwa kipindi cha mkapa pamoja na daraja la mkapa. Nani alikuwa waziri?Linganisha barabara ya ikwiriri - dar uje ulinganishe ya ikwiriri somanga, somanga - nangurukuru
Masasi - nakapanya hizi mahandaki kama yote chini ya magu
Iyovi- makambako hizi sio magu linganisha na moro - Dom hata kuangalia upana na gharama
Hizo kwa uchache hapa hatujataja zile barabara za tarura ambazo watu walikuwa wanaingiziwa Hela ila ujenzi hewa
English mtu wangu 😁Are you talking about those servant quotas?
Mkuuu unavyoona kwako magufuli alikuwa sawa basi jua kwangu Mimi ninayaona madhaifu na wizi mkubwa . Kwahiyo hata awe wapi kwa sababu ninauona wizi wake ntaendelea kuusema mpaka naingia kaburini.Hakuna anayempa umalaika JPM. Sisi tunamtetea dhidi ya chuki na kashfa Zenu humu. Kwani hamuwezi kutoa hoja kuwa Samia ni kiongozi mzuri bila kumponda JPM? Shida yetu sisi tunamtetea JPM ni kupingwa kupondwa kwake na kupakwa matope tena Kuna vichaa hadi
Tuliyasema hata kabla ya yeye kufa tukatumiwa watu wakatutesa , Kuna baadhi yetu wakazikwa na viroba wengine akaunti zao akazifreeze tukalazimishwa kununua uhuru nje ya mahakama, kama alikuwa mwema alikuwa kwako sio kwa wote.wanajifanya hakufanya chochote ilhali ukweli mnaujua na sote tunaujua. Unajua kwanini JPM anatumika kama measure? Tena kwanini huwezi waambia kitu Watanzania tuliowengi kuhusu yeye?
Magu hajaplay part yoyote kwenye maendeleo ya nchii, miradi mingi tunayoisifia alikuwa ananufaika Moja kwa Moja.( Hivi ikawaje abadilishe mchoro wa ubungo flyover akatuwekea madaraja kwa gharama Ile IleJPM aliplay part yake vzr na sote tuliona iwaje baada ya kufa Leo mbaya tena hata aliyoyafnya mnaona si kitu? Hapana! Huu Unapoteza direction kutokana na hao wanaoleta upuuzi humu. Wakenya tuu wanaujua ukweli and this is true for the rest of Africans. TUTAPAMBANA
I’m just updating you about what other countries are doing in preparation for AFCON wakati nyinyi bado mnapiga domo.Umeamua kuomba msaada Uganda 🤣🤣🤣
Barabara gani hiyo? Mimi nimekuletea orodha ya miaka ya kuingia mikataba . Magu alikuwa waziri waujenzi mwaka 2000- 2005 na ndo hoja yangu ilipo angalia barabara zilizojengwa kuanzia 2006 mpaka 2010 kwa kulinganisha quality na hizo alizojenga maguHii Barabara ilipanuliwa na kujengwa kipindi cha mkapa pamoja na daraja la mkapa. Nani alikuwa waziri?
Uwa nasikiaga hasira kupinga vitu vinavyojionesha, mmekuwa na lirais limekaa madarakani miaka kumi likienda ulaya kunywa whisky na kurudi, watu hospitalini wanalala chini, Hamna madawa, umeme ukikatika Kila dakika, jamaa kayabadirisha ndani ya miaka mnne. Arafu limtu linasifu ujinga.Tena aliingia mkataba 2017 na kuamua kubadilisha mchoro wa awali akijua kikwete hawez mfanya chochote , Sasa Hawa ndugu zetu tukiwaambia wanamuona malaika
SASA issue ya Barabara, ni standards zinazopitishwa kwenye Sheria za tarnroad zinazopitishwa na bunge, standard tulizonazo mpaka SASA ni lami ya kubeba tani 30 , lakini magari ya SASA yanabeba Hadi tani 40, Mizigo mingi inapita barabarani kuliko reli.Barabara gani hiyo? Mimi nimekuletea orodha ya miaka ya kuingia mikataba . Magu alikuwa waziri waujenzi mwaka 2000- 2005 na ndo hoja yangu ilipo angalia barabara zilizojengwa kuanzia 2006 mpaka 2010 kwa kulinganisha quality na hizo alizojenga magu
Na kuanzia 2011-2015
Unaikumbuka hiiMijitu ya huko ni mijinga sana! Halafu iko entitled kinoma!
Kipindi Cha magu kulikuwa na dawa ? Vipi kipindi Cha aliwajali watumishi au aliwahi ajiri maana maendeleo ni pamoja human development .Uwa nasikiaga hasira kupinga vitu vinavyojionesha, mmekuwa na lirais limekaa madarakani miaka kumi likienda ulaya kunywa whisky na kurudi, watu hospitalini wanalala chini, Hamna madawa, umeme ukikatika Kila dakika, jamaa kayabadirisha ndani ya miaka mnne. Arafu limtu linasifu ujinga.
Ukitaka kujua Hilo, standards za Barabara kilometers 1 ni billion 2.SASA issue ya Barabara, ni standards zinazopitishwa kwenye Sheria za tarnroad zinazopitishwa na bunge, standard tulizonazo mpaka SASA ni lami ya kubeba tani 30 , lakini magari ya SASA yanabeba Hadi tani 40, Mizigo mingi inapita barabarani kuliko reli.
Kamradi pekee kanakoendelea huko Kundustan 😂😂Talanta Stadium
Where opening and Finals of AFCON will be played.
View attachment 3146857
View attachment 3146858
View attachment 3146859
View attachment 3146860
Sawa mkuu nakubaliana nawewe ila inakuwaje barabara kama ya iyovi- mafinga ambayo ndo barabara inayobeba mzigo kuliko barabara zote nchi hii isiwe na viraka miaka na miaka ila barabara ya songea -masasi isiyo na idadi kubwa ya magari iwahi kuchakaa na kuwa na mahandaki wakati ukiangalia gharama ya ujenzi kwa km karibia zote ziko sawa?SASA issue ya Barabara, ni standards zinazopitishwa kwenye Sheria za tarnroad zinazopitishwa na bunge, standard tulizonazo mpaka SASA ni lami ya kubeba tani 30 , lakini magari ya SASA yanabeba Hadi tani 40, Mizigo mingi inapita barabarani kuliko reli.