Hivi kwanini barabara zote Bora nchini mkandarasi alipatikana magu akiwa sio waziri mfano ukifuatilia zile tender zilizoingiwa kuanzia 2006-2009 na ukienda deep zaid kwa kuangalia status ya zile barabara na ukafuatilia zile za kipindi Cha 2000- 2005 na 2010- 2015 kwa kuangalia mahandaki tu ya kwa barabara utajua nani alikuwa BoraKwanza ana tubuma za rushwa TBA na Wizara ya Ujenzi lukuki
Unadhani alikuwa na mahaba na TanRoads na maasifisa wake Hadi kuwapa vyeo Kwa bahati mbaya?Hivi kwanini barabara zote Bora nchini mkandarasi alipatikana magu akiwa sio waziri mfano ukifuatilia zile tender zilizoingiwa kuanzia 2006-2009 na ukienda deep zaid kwa kuangalia status ya zile barabara na ukafuatilia zile za kipindi Cha 2000- 2005 na 2010- 2015 kwa kuangalia mahandaki tu ya kwa barabara utajua nani alikuwa Bora
Mfano Barabara ipi?Hivi kwanini barabara zote Bora nchini mkandarasi alipatikana magu akiwa sio waziri mfano ukifuatilia zile tender zilizoingiwa kuanzia 2006-2009 na ukienda deep zaid kwa kuangalia status ya zile barabara na ukafuatilia zile za kipindi Cha 2000- 2005 na 2010- 2015 kwa kuangalia mahandaki tu ya kwa barabara utajua nani alikuwa Bora
Linganisha barabara ya ikwiriri - dar uje ulinganishe ya ikwiriri somanga, somanga - nangurukuruMfano Barabara ipi?
Tena aliingia mkataba 2017 na kuamua kubadilisha mchoro wa awali akijua kikwete hawez mfanya chochote , Sasa Hawa ndugu zetu tukiwaambia wanamuona malaikaUnadhani alikuwa na mahaba na TanRoads na maasifisa wake Hadi kuwapa vyeo Kwa bahati mbaya?
Hapa kazi tuu 😁😁😁👇👇View attachment 3146869
Na change ya gharama haikurudishwa na jina la interchange akabadili!Tena aliingia mkataba 2017 na kuamua kubadilisha mchoro wa awali akijua kikwete hawez mfanya chochote , Sasa Hawa ndugu zetu tukiwaambia wanamuona malaika
Ila ukiongea humu utasikia tunaharibu thread inatakiwa tumsifie tu magu .Na change ya gharama haikurudishwa na jina la interchange akabadili!
Mijitu ya huko ni mijinga sana! Halafu iko entitled kinoma!Ila ukiongea humu utasikia tunaharibu thread inatakiwa tumsifie tu magu .
Yaan nikikumbuka kile kivuko Cha kigamboni kilivyokuwa kinatupeleka visowani mara kwa mara Sina hamu
Kimsingi interchange iliyotengenezwa ni bora kuliko hiyo design ya mwanzo. 👇🏾Na change ya gharama haikurudishwa na jina la interchange akabadili!
Hakuna anayempa umalaika JPM. Sisi tunamtetea dhidi ya chuki na kashfa Zenu humu. Kwani hamuwezi kutoa hoja kuwa Samia ni kiongozi mzuri bila kumponda JPM? Shida yetu sisi tunamtetea JPM ni kupingwa kupondwa kwake na kupakwa matope tena Kuna vichaa hadi wanajifanya hakufanya chochote ilhali ukweli mnaujua na sote tunaujua. Unajua kwanini JPM anatumika kama measure? Tena kwanini huwezi waambia kitu Watanzania tuliowengi kuhusu yeye? JPM aliplay part yake vzr na sote tuliona iwaje baada ya kufa Leo mbaya tena hata aliyoyafnya mnaona si kitu? Hapana! Huu Unapoteza direction kutokana na hao wanaoleta upuuzi humu. Wakenya tuu wanaujua ukweli and this is true for the rest of Africans. TUTAPAMBANAHAkuna anayeharibu wanaoharibu ni nyinyi ambao mnataka kumponda utendaji wa viongozi na kumpa umalaika mtu mmoja tusifie miradi kwa kutoangalia awamu Kila Kuna madhaifu na uzuri katika Kila awamu