concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,485
Hiyo ilikuwa Moja tu ya ufisadi Bado yapo mengi tu na hata hawasikiiBifu gani Hilo ambalo lilikuja baada ya Assad kuibua ufisadi wa Trilioni 1.5? Wacha usenge we jamaa
Yapo mengi sana ,Ndugai aliiba Bilioni 12 eti anatibiwa India 😆😆😆Hiyo ilikuwa Moja tu ya ufisadi Bado yapo mengi tu na hata hawasikii
Sasa si bora JPM kuliko huyu aliyepo low score , hata hajui anafanya nini . Inakuwa leo inakuwa kesho, ufala wa ccm kulazimisha kubalance gender to please the west’s madness. Wastage .Hii miradi ingekuwa JPM bado yupo isingetekelezwa hapa bali Chato!
Hakuna tatizo mkuu, muhimu project ipo accomplished.Umeona mahali nampinga Rais Samia kwa kuendeleza miradi? Tunachohoji ni kujisahaulisha yale aliyoyafanya Magu. Yaani woote kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa hadi Kikwete wanapata credit kwa miradi yao isipokuwa Magu. Huoni kuna tatizo hapo?
Mbona watu walikuwa wanamchana hadharani mitandaoni, tena kipindi chake ndo watu waliongea sana, mpaka magazeti ya nje yalimwandika. Kama kungekuwa na skendo ya kweli wangeongea tuu.Mkuuu nashukuru umekuja hapa, je ungeyajuaje kama sio ukaguzi , mambo mengi yaliibuliwa na ofisi ya Cag na yakafika bungeni wabunge wakajadili kwa uhuru.
Sasa nambie kipindi Cha magu ilikuwaje ? Magu alikubali mijadala kuwa wazi kama enzi za kikwete? Na kama kweli alikuwa anataka kudhibiti basi angeachia hiyo miradi ijengwe kwenye taasisi husika ila angebana na kuwachukulia hatu wakosefu
Rais hayuko sehemu zote ila ndiye kiongozi mwenye mamlaka ya juu. Kama akiwa mkali kwa wala rushwa na wakwepa kodi, wataogopa kuvunja sheria.Mkuu raisi hawez kuwa sehem zote na ndo maana kukawa na taasisi kama usalama wataifa, pccp, Cag na kwa wakaguzi wandani wapo karibia Kila taasisi na ripoti zao hutoka Kila mwaka.
Dah, uko vizuri ku spin aisee, yaani hata vitu wazi kabisa unazungurusha. Hivi kweli unaweza kudanganya Taifa zima bila ya watu kunung'unika chini chini? Kama hayo unayosema ni kweli basi hayo yangesikika.Wananchi wanampenda sababu alizuia watu wasijue uchafu kwa hiyo ikaonekana yeye ndo Bora kwa sababu hawakuwa na taarifa
Labda mkuu ungetuambia mradi ambao umesimama au hauendeleiSasa si bora JPM kuliko huyu aliyepo low score , hata hajui anafanya nini . Inakuwa leo inakuwa kesho, ufala wa ccm kulazimisha kubalance gender to please the west’s madness. Wastage .
Mkuuu magazeti hayawez pata access ya vitu potential bila ya ukaguzi Sasa magu aliidhit ukaguzi na Wala pale uovu ulipotokea alikuwa anamshughulikia mtoaji mfano na Cag utoah kikwete aliacha watu waibue wizi .Kuna watu waliwahi wajibishwa mfano wa lowasa. Magu hajawahi muadhibu mtu tena mtu wake kwa sababu ya wiziMbona watu walikuwa wanamchana hadharani mitandaoni, tena kipindi chake ndo watu waliongea sana, mpaka magazeti ya nje yalimwandika. Kama kungekuwa na skendo ya kweli wangeongea tuu.
Mkuu unakwepa Nini, nimekupa mfano kama kweli alikuwa mkali kwanini alishindwa chukua hatua hasa kwa watu wake walipoumbuliwa kuiba. Hivi ndungai alipofoji kutumia bil 12 India alimshughulikia?Rais hayuko sehemu zote ila ndiye kiongozi mwenye mamlaka ya juu. Kama akiwa mkali kwa wala rushwa na wakwepa kodi, wataogopa kuvunja sheria.
Mkuu hivi unajua hata serikali inavyofanya kazi? Hiv unajua voucher za malipo zinavyolindwa sana na hakuna mtu anaweza kuacceas zaid ya mkaguzi na mhusika tu, hakuna mwandishi Wala mtu idara nyingine anaweza ingia voucher room ? Unajua kwanini .Dah, uko vizuri ku spin aisee, yaani hata vitu wazi kabisa unazungurusha. Hivi kweli unaweza kudanganya Taifa zima bila ya watu kunung'unika chini chini? Kama hayo unayosema ni kweli basi hayo yangesikika.
Mkuu awamu ya 5 ndo Ina kesi nyingi za kughushi na ndo Kuna wizi mkubwa sana fikiria watu walisomba tri 1.5 na hakuna aliyewajibishwa ila akawajibishwa aliyeibuaMzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals kama za IPTL, Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.
Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.
Mbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.
Na bado ikifika wkt wa uchaguzi ndo huwa panawaka vibaya mno, ndondi😀, ila badae shwari tu.Huu uzi umekua wa kingese siku 2 hizi!
Miradi inaendelea sababu hakukuwa na namna zaidi ya kupambana kuendeleza, we ulitegemea watelekeze SGR , au bwawa la umeme ? Was it possible ?Labda mkuu ungetuambia mradi ambao umesimama au hauendelei
Hapana mkuu tukiruhusu nchi yetu iende kwa hisia hatuwezi fika mahali popote. Mkuu hakuna sehemu rahisi kuiba kama kwenye miradi ya ujenzi na dalili Moja ya wizi ni cash payment. Sasa jiulize ikawaje mwenzetu akawa analipa cash kitu kama ununuzi wa ndege alibeba kiasi gani kwa mfuko.concordile 101 wacha tukubaliane kuto kukubaliana.
Mkuu nadhan Inawezekana kwako ujenzi ni barabara labda ni kwasababu havitangazwi kama kipindi Cha magu kwako inakuwa ngumu kutambua. Kuna miradi mingi sio ya ujenzi kwa kada mbalimbali Mimi ntakutajia michache tuMiradi inaendelea sababu hakukuwa na namna zaidi ya kupambana kuendeleza, we ulitegemea watelekeze SGR , au bwawa la umeme ? Was it possible ?
Ningekuchukulia serious ungesema ni kitu gani kipya wamefanya baada tofauti na alivyoanzisha Jiwe ,
Mkuu maendeleo sio barabara tu Kuna mpaka human development ikiwemo ajira. Ukitoa mfano wa mwigulu kumbuka alikuwapo enzi za magu Sasa Mimi naweww tuulizane kapata wapi Sasa au kipindi kile maana hata makonda umuweke kwa utajiri alionao maana kwa mshahara wa mkuu wa mkoa Hana uwezo wa kununua hata hiyo rangeNothing , and that proves how incapable they are , hawana jipya hawa hawawezi ,
Tulitegemea walau tuone hata barabara ya njia nne kibaha morogoro wajitutumue, but hata ile tu ya Kimara-Kibaha bado wanahaha kuimalizia hadi leo. Uwezo mdogo, only stealing and looting ,
Ile timu ya mpira ya ihefu ambayo sasa hivi inaitwa sijui singida black nini sijui waziri mmoja aliinunua bilioni 7 cash,
Mifumo nyinyi ndo hamuitaki Cag alipoadhibiwa kwa kuibiwa wizi Kila mtu akisema ana bifu na magufuli hakuna aliyeangalia chanzoUnajiuliza mzigo wote huo aliutoa wapi ? Na anategemea kurejeshaje pesa yake ? Yaani ananufaika nini na timu ? Hapa kuna Siri gani ?
Ni vile tupo kwenye nchi isiyo na mifumo ya kuhold watu acountable,
Mimi simuamini yeyote ila naamini katika kutengeneza mifumo dhabiti na ukweli tu na ndo maana kwangu kikwete was the best of all Sabab aliachia watu watiririke wajuavyo tukayajua mawizi makubwa sana Dunia hiiWonder you still have faith on such people ? We are doomed mateys.
Itakuwa ni motoNa bado ikifika wkt wa uchaguzi ndo huwa panawaka vibaya mno, ndondi😀, ila badae shwari tu.
Tumeshammaliza nyama mkenya Sasa tunakosa pa kutafuna maana kote kumeisha tunaanza kulana wenyewe ila akijitokeza kondoo mwingine tunapata nguvu ya kumkimbiza tenaNa bado ikifika wkt wa uchaguzi ndo huwa panawaka vibaya mno, ndondi😀, ila badae shwari tu.
Najua haya ni makombo baada ya kula vinono
Endelea kuota!Na sio kwamba alimaliza mihula yake. Alikufa tu kitu ambacho ni natural. Sijui binadamu wengine wanatumia akili gani kumlaumu Mtu aliyekufa akiwa madarani..eti hakumaliza miradi...sasa mlitaka amalizeje wakati amekufa?
Angefika 2025 miradi kiwa nusu hapo nami ningesaport kuwa hakumaliza miradi. Sasa mnalalamikiaje mtu ambaye ni marehemu?
Sasa hiv 2024.
Magu angekuwepo.
1. SGR ingeishafika Mwanza kitambo sana
2. Mv Mwanza hapa kazi tu ingekuwa na safari zake za Bukoba kila siku
3. Tungekuwa tunateleza tu Kigongo busisi
4. Magufuli city ingeshaisha. Sasa wangekuwa wanapanua Barabara tu
5. Msalato Airport phase 1 ingekuwa inafanya kazi.
6. Huenda kimara kibaha highway ingekuwa Mlandizi huko
Nk nk