Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema watu wanajisahau sana kaka juhudi na uthubutu wa jpm kamwe hautokaa kusaulika ata ukipitia comment kwenye hii miradi inayozinduliwa km Emu nyingi ni za kumsifia jpm huwezi kuona za mkwere wala mama ndio jinsi jpm anaishi kwenye mioyo ya watu
 
Hivi umesahau jinsi Magu alivyomtuma Mfugale kwenda Japan kutafuta pesa za ujenzi na kumwambia asirudi mpaka awe na mkataba? Unafikiri ni kwa nini inaitwa Mfugale flyover?
 
Weka picha ligi yenu mkicheza usiku 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mh!
 
Kama ni hivyo basi msiite uwanja wa Mkapa bali Kikwete maana ulifunguliwa wakati Kikwete rais.
Hapana Bado tunawapa credit walioanzisha ndio maana miradi anayomalizia Samia inaitwa miradi ya Magufuli.

Hoja ni kumalizia miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi mipya Kila sekta.

And she is doing all this without visingizio.

SSH ni mama wa Uchumi na Biashara πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/FMzaramu/status/1854135539995115858?t=-Ps0SE_XCR8MLx6Xt-Zixg&s=19
 

Attachments

  • TikTok_7433697827139620102 (1).mp4
    3.6 MB
Umeona mahali nampinga Rais Samia kwa kuendeleza miradi? Tunachohoji ni kujisahaulisha yale aliyoyafanya Magu. Yaani woote kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa hadi Kikwete wanapata credit kwa miradi yao isipokuwa Magu. Huoni kuna tatizo hapo?
 
Mkuu Mimi nimecheka Sana, nadhani tubaki kimya, kuna watu wanafikiri unapoongeza bajeti ndio maendeleo bila kuzisimamia watu wanakula. Deni la 54 trillion , ukizifanyia audit hautaziona value yake kwenye miradi hiyo.
 
Ujinga ni MZigo, viwanda vya kisasa vyenye kumitt standard za kimataifa ndio vimeongea mauzo ya nyama nje.
 
Ujinga ni MZigo, viwanda vya kisasa vyenye kumitt standard za kimataifa ndio vimeongea mauzo ya nyama nje.
Viwanda hivyo hivyo ndivyo vimelegwa na sera nzuri za Samia.

Unadhani Kwa nini kabla ya hapo mauzo hayakuongezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…