Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Mage Kaka madalakani Kwa muda gani?Samia Suluhu Hassan. Is the best leader mpaka sasa.
Ni mjinga pekee yake anajifunika macho asione kinachoendelea.
Magufuli aliacha Bwawa la Nyerere chiniya 20% SGR sijui chini ya 16%
Lakini Rais Wetu Mama Samia amekamilisha vyote. Alikuwa na option ya kuachana na projects hizo Kama Magu alipoachana na Bagamoyo port, Kawe City, Kigamboni City zilizoachwa na kikwete.
Samia apewe Maua yake.
Magu alifanya kwa sehemu yake ** Tutaendelea kumuenzi na Kumshukuru**
Kama huridhiki na utawala wa Samia basi tafuta wa kukuridhisha. She is doing what supposed to be done in developing countries.
Uzuri mkishindwa hoja mnakimbilia personal attackHave you ever wondered why I don't argue with subpar on here? The answers you came up with are the real reasons why I don't bother with your likes.
Magu Miaka mitano, Samia miaka minne mpaka sasa.Mage Kaka madalakani Kwa muda gani?
Wewe ni mpumbavu sn kumanina, hiyo Ben mkapa stadium imekarabatiwa lini? Kila siku ipo vilevile, hakuna seat mpya vyoo vichafu yani kwa kifupi hakuna jipya, tuache huko turudi kwenye barabara, roads mnajenga nyembamba mnoo mpaka aibu, yani road inapita airport alafu nyembamba, aibu gani hii? Yani mkiwa wajinga kama hivi hatujengi bali tunabomoa, na nikipata watu watatu tu wanasapoti huu upumbavu wako basi nitabadilika na hamtaamini kama ni mm napambana na hawa wakenya miaka yote hii.
Msenge huyo achana naye, kwanza namsubiri anijibu nipambane naye. Mtu gani unaeleweshwa huelewi.
Hivi Ni Rais Gani Kutoka Nchi ya Ahadi Aliwahisema Viatu vya Magufuli nivikubwa kwake?
Kifupi Tuache Kumlinganisha Magufuli na Vitu vya Ajabu
Hajatokea Hata 1/4 wakulingana na Magufuli Tuishi tu humo humo hakuna Namna
Ila Nchi inapitia Wakati Mbaya na Hovyo japo Tutafika hivyo hivyo
Mage Kaka madalakani Kwa muda gani?
Aawapii Yule alikuwa anapiga domo tu!Mimi binafsi najua kuwa miradi ambayo tunalingia leo hii misingi imewekwa na JPM kukamilisha angekamilisha kama asingekufa basi endeleeni kuropoka ila kumbuka kila awamu watu wanajuwa imefanya nn bila maamuzi magumu kuna vitu visingefanyika kwa kuogopa Western
Aawapii Yule alikuwa anapiga domo tu!
Kwani serikali yote imeshahamia Dodoma? Nachojua mimi ni mpaka Sasa bado! Na isingeweza ikiwa fedha alikuwa anapeleka Chato!Nakupa mfano mmoja tu kama hutanielewa basi mimi sio mwalimu wako Kuhamia Dom kuwa makao makuu ya nchi ilianzia awamu gani na ninani aliye tekeleza kwa vitendo huo uzi ulio fungua wa sgr Tanzania na Kenya msingi wake uliwekwa na nani hakuna humu jf hakuna nyoka kama wewe
Geza seriously?Kwani serikali yote imeshahamia Dodoma? Nachojua mimi ni mpaka Sasa bado! Na isingeweza ikiwa fedha alikuwa anapeleka Chato!
Hii online media ni ya Mkenya ,nimefuatilia posts zake zote kaweka Kundustan,zimejaa picha za Nairobi.Kenya inafanyaje hapo?
Kaka msamehe😂😂😂😂😂😂 mzee kumbukumbu zinamtoka.Geza seriously?
Tangu uhuru mna njaa!
Unatuletea kilimo cha Shayiri (barley) Kwaajili ya kutengeneza alcohol. Mtaanza kulima lini kilimo cha chakula?