President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Hahahahaha imetoka hiyo next question. Utaumia kijanaJengo linajengwa na wasafi media? Jina kufanana sio ushahidi kuwa wasafi media ndio wajenzi
Hahahahaha imetoka hiyo next question. Utaumia kijanaJengo linajengwa na wasafi media? Jina kufanana sio ushahidi kuwa wasafi media ndio wajenzi
Magu alivyo brazaman then alete mtungi wa chang'aa,humjui magu weweNilikuambia uweke ushahidi kuwa treni mliyoagiza ni bullet train halafu ukakataa. Mtaletewa mtungi wa chang'aa.
Nyinyi mumeanza kujenga haya majengo ya apartments juzi tu. Dar haina haya majengo ya arpatments mengi. Nairobi yamejaa.[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1662738View attachment 1662739View attachment 1662740View attachment 1662743
Ndege mbali kote huko!kunyaland walipofikia kujenga barabara ya km 1 lazima uhuru aruke europe kutembeza bakuli,nchi imefilisika ileNa kinacho wauma zaidi ni kwamba kwasasa nchi yao ina madeni ya kufa mtu na kila kitu kinaendeshwa na mikopo..hawana Cash ya maendeleo hivyo hawawez hata kuota kununua ndege sio tu ndege kubwa hata bombardier.[emoji23][emoji23][emoji23]...ukweli unauma
Au jibu hii basi, Fumba town[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Maneno ya mkosaji.
Mbona hiyo tulishaimaliza!? Kuwa train za Tanzania ni kutoka south Korea KTX. Mbona issue hiyo tayariMagu alivyo brazaman then alete mtungi wa chang'aa,humjui magu wewe
Haha. Washroom kubwa hivyo?
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Nyinyi mumeanza kujenga haya majengo ya apartments juzi tu. Dar haina haya majengo ya arpatments mengi. Nairobi yamejaa.
Km nakuona unavy washwa n vitu dunia ya kwanza sio ujinga wenu wa mahekalu y kichina[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nyumba ya mganga inatisha sana.
View attachment 1662728
Kubwa kuliko many of ur media as coverage ipo almost kila mahali Tanzania!Wasafi media ondoa kwenye listi. Wacha ujinga. Hio ni kampuni ndogo sana.
Magu anapenda vitu quality co wa hovyo yule, ni tozi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Magu alivyo brazaman then alete mtungi wa chang'aa,humjui magu wewe
Hakuna ushahidi wowote kuwa train yenu itakuwa KTX. joto la jiwe alishindwa kuleta ushahidi.Mbona hiyo tulishaimaliza!? Kuwa train za Tanzania ni kutoka south Korea KTX. Mbona issue hiyo tayari
Na changing rooms pia [emoji23][emoji23][emoji23]Haha. Washroom kubwa hivyo?
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Hakuna ushahidi wowote kuwa train yenu itakuwa KTX. joto la jiwe alishindwa kuleta ushahidi.
😀 Tony wewe nina uhakika lazima uje kuexplore Tz SGR ikikamilikaNilikuambia uweke ushahidi kuwa treni mliyoagiza ni bullet train halafu ukakataa. Mtaletewa mtungi wa chang'aa.
Twende taratibu tu utatepeta mbele yangu. Hapa tunaongelea SGR Kenya vs TanzaniaHakuna ushahidi wowote kuwa train yenu itakuwa KTX. joto la jiwe alishindwa kuleta ushahidi.
Imefikia Nation media group (NMG) au standard group (SG) kwa ukubwa? Geza unajua vizuri kuwa kampuni za media za Kenya ni kubwa sana na hizo mbili nilizotaja ni kubwa kimapato kushinda kampuni yoyote ya media ya TZ.Kubwa kuliko many of ur media as coverage ipo almost kila mahali Tanzania!
Sasa kuna emotions gani ....au hupendi kuambiw ukweli[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tafuta kunya nzima vitu classic km hivi km utapataHuyu uchungu umezidi, leta hoja sio emotions.View attachment 1662736
Must include KTX bwana. Wacha mchezo.[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1662757