Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂😂Dooooh kumbe akili wewe huna!??
Ndio maana nikasema maarifa ya maisha wewe huna.
Mimi ninajikita katika project kubwa kuliko hizo.
1)Nina knowledge ya madini hususan gemstones.Hapa nilipo kuna watu na leseni zao wananifuata kila nikiwafanikishia mzigo wananipa 30% ya faida.
Wewe kaa tegemea hivyo vi saccos vyako.
2)Elimu ya mifugo usiichukulie simple,iwe ufugaji kuku au ng'ombe.Sio kila anayefuga kuku basi anafanikiwa.Embu nenda kaulize large scale poetry/ livestock trading ikoje.
Mimi nina maarifa ya maisha na vitu tangible ambavyo vinaleta manufaa ya papo na hapo yanayoonekana ikiwezekana na kuajiri watu wengine zaidi.
Huna maarifa ya maisha kijana.
Kwahiyo ukikaa na wadogo zako ukiwa unawaelekeza maarifa ya utaftaji utaishia kuwaambia kuhusu saccos na treasury bonds!?
😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseee yani una akili iliyojifunga.

Sama boy 255 njoo kaka umchukue kijana wako.
Hamna alichonacho hapo kajitutumua tu.
 
Wakenya hakuna kitu mnaweza maana biashara zote zipo chini ya wasomali na nyie ndo mmekuwa mabakitatu wao au mkimbilie utumwani Gulf
Screenshot_20241029_132842.jpg

Kwanza wakawachukue wakimbizi wao gulf kule
 
Buy Kenya Build Kenya, na sio basi pekee yake. Almost all 90% of Scania trucks in Tanzania comes from Kenya😂😂🤣😂.

All Toyota Landcruiser in Tanzania come from Kenya😂
Vumbistanis hawataki kuskia hii kabisa.😂😂
 
I can bet my life that this guy is a Tanzanian masquerading as a Kenyan. The English alone betrays him. Secondly, he's repeating the bullshit Bongolalas say here.😂😂😂
As english betrayed ur MP,kunyan acheni kuwaaminisha watu eti wote mnaongea na kuandika kiufasaha,90% ya kunyan hawajui kiingereza
 

Attachments

  • 2afd71e85a5207e30aaa944f1eb2cfe9.mp4
    1.4 MB
Yani hiyo harusi hata nilivyooa sijaoa kishamba na kipumbavu namna hiyo.
Harusi ya kishamba hiyo na mavazi ya kishamba kabisa.
Unacheka na juzi mmeweka hapa picha ya harusi eti mmebeba nyama kwa vijiti na mnaona hiyo ni flex.😂😂😂
 
Anakuambia yeye ni muwekezaji kisa anacheza bitcoin, na wakenya wengi ndiyo michezo yao, bitcoin na betting coz no job opportunities za kutosha huko Kenya, vijana wengi ni kamari na wizi tu, Kenya ni typical failed state and shit hole 🕳️ at the same time.
Utabaki kuwa maskini wewe watchman. It’s seems hii mambo financial literacy hamjui kabisa nyinyi watanzania 😂😂
 
Wakenya hakuna kitu mnaweza maana biashara zote zipo chini ya wasomali na nyie ndo mmekuwa mabakitatu wao au mkimbilie utumwani Gulf
Mnapenda kuamini vya kuambiwa sana, hivo ndio mlidanganywa?
 
😂😂😂😂😂😂Dooooh kumbe akili wewe huna!??
Ndio maana nikasema maarifa ya maisha wewe huna.
Mimi ninajikita katika project kubwa kuliko hizo.
1)Nina knowledge ya madini hususan gemstones.Hapa nilipo kuna watu na leseni zao wananifuata kila nikiwafanikishia mzigo wananipa 30% ya faida.
Wewe kaa tegemea hivyo vi saccos vyako.
2)Elimu ya mifugo usiichukulie simple,iwe ufugaji kuku au ng'ombe.Sio kila anayefuga kuku basi anafanikiwa.Embu nenda kaulize large scale poetry/ livestock trading ikoje.
Mimi nina maarifa ya maisha na vitu tangible ambavyo vinaleta manufaa ya papo na hapo yanayoonekana ikiwezekana na kuajiri watu wengine zaidi.
Huna maarifa ya maisha kijana.
Kwahiyo ukikaa na wadogo zako ukiwa unawaelekeza maarifa ya utaftaji utaishia kuwaambia kuhusu saccos na treasury bonds!?
😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseee yani una akili iliyojifunga.

Sama boy 255 njoo kaka umchukue kijana wako.
Yani hii paragraph yote ni kwa sababu nimekuambia hujui what financial literacy is? Watanzania mnakuanga wajinga kweli😂😂🤣😂.

Hizo vitu zote umeeleza yet you are still poor😂😂🤣, unajipiga kifua kuuza kuku while smart people are aiming towards financial freedom where instead of working for money your money is working for you. Wewe I’m sure usipotoka kwa nyumba yako from Monday to Monday you will have nothing to eat.
 
Mambo hayo TZ tulishayafanya miaka mingi mno:-
Ordha ni ndefu sana kijana. Wewe bado dunia hujaijua.

Shaggy – Performed in Tanzania in the early 2000s, known for his hit songs like It Wasn't Me and Angel.

Quincy Jones – 1974, performed and engaged in African music festivals.

Herbie Hancock – Mid-1970s, performed in Tanzania to promote jazz and cultural diplomacy.

Mavis Staples – 1980s, traveled to Tanzania for gospel and cultural exchange performances.

Wynton Marsalis – 1989, led workshops and performances in Tanzania.

Christylez Bacon – 2018, held workshops as part of the American Music Abroad program.

Ziggy Marley – 2019, visited Tanzania as part of his global performances.

Morgan Heritage – Performed in Tanzania during their African tours, notably in 2017.

Busy Signal – Visited Dar es Salaam for a performance in 2019, bringing dancehall energy.

Etana – Performed at the Sauti za Busara Festival in Zanzibar in 2016.

Alaine – Also performed at Sauti za Busara and has toured Tanzania multiple times, including in 2018.

Tarrus Riley – Played in Tanzania in 2019, celebrating reggae’s connection with African heritage.

Chronixx – Brought his reggae revival sound to Dar es Salaam in 2017.

Rick Ross – Performed in Dar es Salaam in 2012, drawing a large local audience.

French Montana – Visited and performed in Tanzania in 2017.

Trey Songz – Performed in Tanzania in 2016, further promoting R&B in the region.

Keri Hilson – Performed at various African festivals, including in Tanzania, in 2011.
50 cent hujamuweka, Ja rule hujamuweka yani wengi sn, wao ndiyo wameanza sasa wakati sisi tulifanya kitambo, kwa sasa hapa bongo hakuna mziki unafunika bongo flavour, yani ukimchukua msanii wa nje uweke show alafu viwanja vingine kuwe stars wa bongo flavour utapata watu wachache sn huko kwa star wa nje.
 
Where is the cooked data mbona unazunguka, juzi si ulikuwa na vitweet vyako vingi hapa? Unashindwaje kuleta hata one cooked data?
You cooked your economic growth figure and World Bank pinned you down😂😂🤣😂
 
Nimechungulia pale sijaona mradi wowote wa kumuingizia pesa daily , kuwekeza kwenye bonds bila source of income wapi na wapi hata ajira hana
Kumbe hukuwa unawajua what bonds and bills are?😂😂🤣😂.

I’m stressing you and giving you education at the same time.

I’m earning interest daily yet wewe bado unabwekwa around kama mbwa ako na njaa😂😂🤣👇👇

IMG_0716.jpeg
 
Back
Top Bottom