Unasumbuka kaka huyo kazoea maneno ya kanga na mipasho hana cha kukujibu maana Nairobi hali ni tete.What is the value of Nairobi? Dar es Salaam Port Expansion - $450 million
Unasumbuka kaka huyo kazoea maneno ya kanga na mipasho hana cha kukujibu maana Nairobi hali ni tete.What is the value of Nairobi? Dar es Salaam Port Expansion - $450 million
Anakuambia yeye ni muwekezaji kisa anacheza bitcoin, na wakenya wengi ndiyo michezo yao, bitcoin na betting coz no job opportunities za kutosha huko Kenya, vijana wengi ni kamari na wizi tu, Kenya ni typical failed state and shit hole 🕳️ at the same time.Unadhani utakua tajiri kwa kukalisha mapumbu kwenye ofisi za watu siku sita za wiki.? 😂😂😂😂. Umezaliwa bush, hujaenda popote zaidi ya nairobi ambapo bila kusoma ungeishia kupaskia tu 😂😂
Wewe mtoto ni mpumbavu sana, kazi yako kupost salary slip 😂😂 nikikuonyesha pesa yenye ni pesa ya mfuko wa shati tu unababaika, mzembe utakufa maskini. 😂😂😂
heheheh ChoiceVariable kwa hapa sasa nimekubali 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://x.com/millardayo/status/1852321771849974252?s=46
Jaribu App store ibadilishe region iwe China , Download ikimaliza rudi region yako😎 tengeneza Email ya China kama QQ au sina, or sohuKuna anayejuwa jinsi ya kufungua account ya Douyin nje ya China bila ya kutumia +86 country code?
Wakenya hakuna kitu mnaweza maana biashara zote zipo chini ya wasomali na nyie ndo mmekuwa mabakitatu wao au mkimbilie utumwani GulfNairobi is three times wealthier than Dar.
Nairobi is a tier one city while Dar is a tier two just like Mombasa.
Nairobi is the African leading City while Dar isn’t even considered among the best.
Nairobi is the 6th Most Dynamic City in the world while Dar is non existence.
Nairobi is the East African capital and financial backbone while Dar is in the level of Kisumu.
😂😂😂😂😂😂Dooooh kumbe akili wewe huna!??That’s not financial literacy, kuuza kuku inaezafanywa hata na vichaa😂😂😂🤣.
I’m Talking about;
Treasury Bonds
Treasury Bills
Offshore stocks purchase
Money Market Fund
Real Estate Investment Trust
Local Stock Purchase
Mutual funds
Saccos
Ni gani unajua Kati ya hizo?😂😂
Ndio maana namwambia hana maarifa ya maisha.Can you earn 250,000 ksh per day with this? If not possible kubali ufundishwe business acha na treasury stocks hazitakupeleka mbali
🚮🚮🚮Ndo maana kina napi na makamba pamoja na mafisadi wengine na machawa wao kama wewe mlipinga sana ujenzi wa JNHPP kumbe ni kwa maslahi ya Hawa mabwana zenu
RIP mwamba jiwe