Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanamuziki wangu bora kabisa na mtu maarufu zaidi kuwahi kuishi duniani, just imagine enzi hizo hakuna social media lkn jamaa alijulikana na kila mtu kama unavyoona leo hii mtu kama Cristiano Ronaldo, lkn kwa maoni yangu Cristiano hafikii hata nusu ya umaarufu wa MJ.
Leo hii jamaa hayupo lkn unakuta ukimuuliza mtoto wa miaka 7 anamjua. Noma sana huyo mtu, tumkumbuke kwa moja ya nyimbo yake matata kabisa, Be mine 👇👇

View: https://youtu.be/O3tnOVideSo?si=b7PKUsaigPBDnEsz
 
Kumbe hukuwa unawajua what bonds and bills are?😂😂🤣😂.

I’m stressing you and giving you education at the same time.

I’m earning interest daily yet wewe bado unabwekwa around kama mbwa ako na njaa😂😂🤣👇👇

View attachment 3141199
Watanzania wana wajinga sana, you can't be poor and illiterate at the same time. Mtaendelea kupiga kelele while my money is working for me. I can decide to sleep from Monday to Monday but I will still make money.

Another investment vehicle which has yielded me money, I'm waiting for it to reflect on my account on Monday and re-invest them again for more interest😂😂😂

Screenshot_20241101-143629_2.jpg
 
Kumbe hukuwa unawajua what bonds and bills are?😂😂🤣😂.

I’m stressing you and giving you education at the same time.

I’m earning interest daily yet wewe bado unabwekwa around kama mbwa ako na njaa😂😂🤣👇👇

View attachment 3141199
Daily earning yako Iko wapi hapo?
Hapo ili upate hiyo 260,000 ksh per day unatakiwa uwekeze zaid 50mil kitu ambacho kwa robo ya hiyo nazalisha mara tatu ya utakachopata ,
Hujaijua biashara na Bado mdogo sana 26
 
Mwanamuziki wangu bora kabisa na mtu maarufu zaidi kuwahi kuishi duniani, just imagine enzi hizo hakuna social media lkn jamaa alijulikana na kila mtu kama unavyoona leo hii mtu kama Cristiano Ronaldo, lkn kwa maoni yangu Cristiano hafikii hata nusu ya umaarufu wa MJ.
Leo hii jamaa hayupo lkn unakuta ukimuuliza mtoto wa miaka 7 anamjua. Noma sana huyo mtu, tumkumbuke kwa moja ya nyimbo yake matata kabisa, Be mine 👇👇

View: https://youtu.be/O3tnOVideSo?si=b7PKUsaigPBDnEsz

Walikuwa hawajazaliwa . Bongo hakuna shobo tena za wanamziki wa kimarekani watu wanataka vitu vya asili
 
Daily earning yako Iko wapi hapo?
Hapo ili upate hiyo 260,000 ksh per day unatakiwa uwekeze zaid 50mil kitu ambacho kwa robo ya hiyo nazalisha mara tatu ya utakachopata ,
Hujaijua biashara na Bado mdogo sana 26
Hujui Kusoma? Ama hujui what interests are?😂😂🤣😂.

Alafu mbona unafanya guess work? Mara Ksh 200,000, Mara 250,000 sasa leo umekuja na 260,000. Wewe maybe unaongelea 200 bob😂😂🤣😂

By the way how much do you make in a year? I want see something 😂😂🤣
 
Yani hii paragraph yote ni kwa sababu nimekuambia hujui what financial literacy is? Watanzania mnakuanga wajinga kweli😂😂🤣😂.

Hizo vitu zote umeeleza yet you are still poor😂😂🤣, unajipiga kifua kuuza kuku while smart people are aiming towards financial freedom where instead of working for money your money is working for you. Wewe I’m sure usipotoka kwa nyumba yako from Monday to Monday you will have nothing to eat.
Pole sana kijana 😂😂😂😂😂ndio maana nasema huna maarifa ya maisha.
Nenda kasome how livestock trading hata small scale inavyokutajirisha.
Endelea kuwa na mawazo mgando.
 
Pole sana kijana 😂😂😂😂😂ndio maana nasema huna maarifa ya maisha.
Nenda kasome how livestock trading hata small scale inavyokutajirisha.
Endelea kuwa na mawazo mgando.
You don’t know anything about Financial literacy. Wakati unaendelea kuuza kuku mimi Niko at a point where I’m lending the government my money to earn more money within a short period of time.

Soon I’ll start lending Tanzanian government money, ubaya your poor government gives less interest on investment 😂😂
 
You don’t know anything about Financial literacy. Wakati unaendelea kuuza kuku mimi Niko at a point where I’m lending the government my money to earn more money within a short period of time😂😂
Maarifa ya maisha huna endelea kuwa na akili mgando.
 
Maarifa ya maisha huna endelea kuwa na akili mgando.
No wonder you are poor. Ungejua tu financial literacy hata kidogo at least Ungekuwa mahali😂😂🤣.

Kuuza kuku anybody can do, kuuza mayai anybody can do, kuuza mbuzi anybody can do.😂😂🤣
 
The returns that Central Bank of Kenya gives on T-Bills investment, it as at 17-18% but it reduced to 14% because of the reduced inflation and base lending rates.

1730533336862.png
 
Kwanza hakuna Cha ajabu Wal Cha kubabaisha Nchi.

GDP size 215Trilion less National Debt 97T yaani kiufupi Bado tuko chini ya 50%

Mwisho kushuka Kwa Shilingi vs Dola ndiko kumeongeza sana deni ,hata hivyo mnapenda miradi ila mnajifanya hamjui kwamba ni mikopo
-DMDP2

View: https://youtu.be/zvVEUBwFe5M?si=Ma7C0Nzurjy7fwaR

-Madaraja 93 ya TanRoads

View: https://www.instagram.com/p/DB1lZmTqFl2/?igsh=MW4wb29kNGJhdGpjNg==

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

kweli kazi inafanyika na watanzania wanaona au sio 😅😅😅😅🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Maarifa ya maisha huna endelea kuwa na akili mgando.
Yaan ukichukua ksh 20mil uweke kwenye hizo government bonds
Na Mimi nikichukua ksh 10mil nielekeze kwa kuku , nguruwe mbuzi au hata kilimo baada ya mwaka mmoja ntakuwa na 100mil Wakat wewe mwenye bond ukiwa unasubiri letsay interest ya 16 % ambayo itakuwa haiatakuwa inafika hata robo ya faida yangu
 
Kwanza hakuna Cha ajabu Wal Cha kubabaisha Nchi.

GDP size 215Trilion less National Debt 97T yaani kiufupi Bado tuko chini ya 50%

Mwisho kushuka Kwa Shilingi vs Dola ndiko kumeongeza sana deni ,hata hivyo mnapenda miradi ila mnajifanya hamjui kwamba ni mikopo
-DMDP2

View: https://youtu.be/zvVEUBwFe5M?si=Ma7C0Nzurjy7fwaR

-Madaraja 93 ya TanRoads

View: https://www.instagram.com/p/DB1lZmTqFl2/?igsh=MW4wb29kNGJhdGpjNg==

niletee ushahidi wa GDP na mm nione kwq macho yangu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom