ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😂😂😂😂 kwanza umeskia deni linaenda trillion 100 sasa kutoka trillion 56 toka kipindi cha nyerere mpaka magufuli 🙌🏻🙌🏻Ndo maana kina napi na makamba pamoja na mafisadi wengine na machawa wao kama wewe mlipinga sana ujenzi wa JNHPP kumbe ni kwa maslahi ya Hawa mabwana zenu
RIP mwamba jiwe