Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1790782360500.png

when you are expecting an investment from your buddy 🤣 🤣 🤣 but the buddy has other plans na ela yake 🤣🤣🤣🤣 you wish to smile but, you remember your hosting an event 🤣🤣🤣🤣
 
Ila Huu mradi umewasumbua Bongolala, wah. 😂😂😂
Sijawai Ona mradi Wa nchi jirani ukifuatiliwa hivi.
Yule kijana ya mama is posting about this refinery today after every two seconds. 80% ya all pages leo ameteka nyara na Tweets za X about this project! Yani Nyamwezi anavyoumizwa namuonea tu huruma 🤣 🤣
 
Yule kijana ya mama is posting about this refinery today after every two seconds. 80% ya all pages leo ameteka nyara na Tweets za X about this project! Yani Nyamwezi anavyoumizwa namuonea tu huruma 🤣 🤣
Huyo nimemuweka ignore list Ila nikipata page nzima iko empty huwa najua ni yeye.😂😂
 
View attachment 3680894

Kelele zote hizo ni kuhusu EACOP. Just imagin project ya billions of money inakimbizwa haraka haraka kama uuzaji wa nyanya. Refinery project need a lot of process.

Walinusa wakaona kuna Refinery inajengwa Tanga. Sasa wamekuja na kelele ili waonekane wao ndio walikuwa na wazo. We don't Care.

Hiyo dawa yao ni kama paracentamol inatuliza maumivu lakini ugonjwa bado upo pale pale.
Museven leo kamchana ruto huko lamu,kasema plan ya refinery tanga aliongea na mama samia,hata hajui ruto alipata vipi info akadandia treni kwa mbele,wakamtosa 😄,but leo kawaambia tanga itajengwa refinery,hoima refinery,anadai alienda saudia akakuta refinery 9
 
Back
Top Bottom