Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mie kila Nikiingia Humu Naona mmoja Anapost Mabasi Nakujisifu
Ajabu Anaposti Basi lipo Sehemu Chafu mtaani Sion Akipost yakiwa Stand kama Huku
Inamaana Wao wanapandia Basi Hovyo hovyo bila Ya Utaratibu
Tuendelee tu na huu mtori nyama tutazikuta chini 😁😁
 
Kamuulize huyo dada. Ni yeye aliyetoa list. Hasira zako mpelekee. Usiletee Wakenya. 😂 😂
Ndo maana nakuambia huyo mwenzenu anajiita mkongo hawez kuandika hata kilingala au kifaransa . Kiswahili Cha kongo kinajulikana that is typical Kenyan , using Congolese and Rwandan flags .
 
Unajua maana ya 'kujazana' au umeamua tu kutia chumvi?😎
Iwe chumvi ama sukari ukweli ni kwamba kuna ombaomba wenu wengi Nairobi, Nakuru na Mombasa na sasa tunaambiwa kuwa Afrika Kusini pia mpo. Mkiongea humu mnajipiga vifua jinsi mnavyoheshimiwa huko nje na Wakenya kuchukiwa kumbe ni Wakenya wanaoheshimiwa nyie mkidharauliwa. 😂 😂
 
Post video zenye accent za kibongo. Acha maneno
 
Ndo maana nakuambia huyo mwenzenu anajiita mkongo hawez kuandika hata kilingala au kifaransa . Kiswahili Cha kongo kinajulikana that is typical Kenyan , using Congolese and Rwandan flags .
Broo....Mkenya akitaka kuisema Vumbistan vibaya hana haja ya kujificha kuwa raia wa nchi nyengine. Infact atataka ajulikane ni Mkenya. Hakuna Mkenya anaiyeiogopa Vumbistan. Take your L broo. Hizi nguvu unaweza zitumia kuwatoa wenzako S.A.😂😂
 
Broo....Mkenya akitaka kuisema Vumbistan vibaya hana haja ya kujificha kuwa raia wa nchi nyengine. Infact atataka ajulikane ni Mkenya. Take your L broo. Hizi nguvu unaweza zitumia kuwatoa wenzako S.A.😂😂
Wewe leta prove sio maneno kuwa Kuna watanzania wanaomba Kenya na kama wapo basi nyinyi ni wapumbavu, kwani mridhike na uwepo wa undocumented foreigners ?
Maneno bila video au sauti ni uvumi
 
Nyinyi hata Radi ikipiga iue watu Tanzania mnaweza sema mungu ni Mkenya. 😂 😂
Kubalini dunia nzima inawajua.
Enda ulilie South Africa. Wao ndio wameona Tanzanian homeless people kwa streets zao. Tukiwaambia mnatuita haters. Wacha muambiwe na wengine.😂😂
South Africans wanajua kiswahili siku hiz? Nan asiyejua tabia za wakenya. Mna roho mbaya sana. Mnabaguana nyinyi kwa nyinyi sasa mnasambazs hate zenu kwa nchi nyingine

Nyinyi si mlikuwa mnasaport apartheid government kipindi kile au mnasahau? Now ndo mmekuwa marafiki wa wasouth sio. Watu wa hovyo kweli.
 
Nilete mkongomani ambaye anaweza andika kiswahili hivi. And huu ni mwandiko wa mkenya hata upangaji wa maneno " unafikiri natokea sauza" completely Kenya accent

View attachment 3139059
Hii statement alioandika “nyie mko hardworking/focused” says it all kwamba huyo dada ni nyang’au. Unganishaa hii/code mixing hii ya kiswahili na kizungu ni ya kikenya.
 
Kumbe illigal human trafficking ambayo serikali yenu imeshindwa kuidhibit ndo mnayoipigia kelele.
Mimi nilijua unatuletea watu wanaotoka Tanzania kwa kupenda na wakawa wanaomba bila kumpeleka mtu yoyote .
Human trafficking hata Kenya hiyo ni biashara ya watu wenu na forced labour
Screenshot_2024-10-30-14-55-13-74_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
 
Wewe leta prove sio maneno kuwa Kuna watanzania wanaomba Kenya na kama wapo basi nyinyi ni wapumbavu, kwani mridhike na uwepo wa undocumented foreigners ?
Maneno bila video au sauti ni uvumi
Hivi huwa mnataka proof inakaa aje? Do you want it delivered by Angel Gabriel himslef ndio mkubali? 😂 😂
 
South Africans wanajua kiswahili siku hiz? Nan asiyejua tabia za wakenya. Mna roho mbaya sana. Mnabaguana nyinyi kwa nyinyi sasa mnasambazs hate zenu kwa nchi nyingine

Nyinyi si mlikuwa mnasaport apartheid government kipindi kile au mnasahau? Now ndo mmekuwa marafiki wa wasouth sio. Watu wa hovyo kweli.
Shida yenu mnakuwanga watu emotional sana. Kitu kidogo tu mtatoa uchungu wote mliojaza nyoyoni mwenu. 😂 😂
 
Kumbe illigal human trafficking ambayo serikali yenu imeshindwa kuidhibit ndo mnayoipigia kelele.
Mimi nilijua unatuletea watu wanaotoka Tanzania kwa kupenda na wakawa wanaomba bila kumpeleka mtu yoyote .
Human trafficking hata Kenya hiyo ni biashara ya watu wenu na forced labour
View attachment 3139082
Mbona serikali yenu inakubali watu wenu wawe trafficked? Halafu huwezi pata mtu aliye na maisha mazuri akiwa trafficked. Itakuwaje ni Watanzania pekee wanaokuwa trafficked? Mbona hakuna Wakenya ombaomba Bongolala au Afrika Kusini? 😂 😂
 
Back
Top Bottom