concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,485
Haha yaan wanataka lazimisha mbingu iwe ardhiWacha ujinga wewe cold rooms za Mwanza zimezidiwa?
Hivi ni waandishi wetu wa habari ama ni ujuha wa hawa wenye mamlaka Tanzania tayari imeshanunua mabehewa 1430 ya mizigo batch ya kwanza kuwa delivered ni hayo 254 hivyo habari ingesomeka kupokea mabehewa 254 December sio kununua maana tulishanunua na kulipa pesa.Tulia kwanza,upate daily dose iππ
View: https://www.instagram.com/reel/DBf8RhXPYFm/?igsh=MTRnN29vM3A3MG5nZw==
Miezi 2 na nusu mid june mpaka September 3rdTRC wanasema Sgr ni π₯π₯ Waziri Mbarawa: Treni ya SGR imeingiza mapato ya takriban Tsh. Bilioni 16 ndani ya miezi minne
Nimeipenda hii taarifa nimekuwa nikiiangalia mara kwa mara π
Hao kweli ni supapapaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wakundustan wanaimport 30 billion dollars wanaexport 7 billion dollars halafu wanajiita supapapa πππ
Tangu lini Nigeria kukawa na Pc kali? Hao wakenya hawastahili hata kuwa namba 10. Wapeleke ujinga wao mbali.Kundustan wanawazidi Eritrea au Sudan au Uganda Kwa mademu wakali? ππ
View: https://x.com/zoomafrika1/status/1848788138476683765?s=19
Ni miezi mitatu na nusu kwangu Bado naona trc Bado hawajafanya kazi kabisa.Miezi 2 na nusu mid june mpaka September 3rd
Hii ya zamani sana, kwa sasa utakuwa upo hatua za mwisho.
Hasira za nn sasa?ππππππ
View: https://x.com/Kenyans/status/1849372206330978640?t=VCWjY8glI6HbYPU24oxRMw&s=19
Dodoma inapiga miji yote kusini mwa jangwa la Sahara ukitoa some cities from ZAF.
They sure are ahead us na IQ kubwa hadi kuhifadhi vitu chooni. Safi sana hongera.wallah kenya ni jahannam ya duniani
kaaaaaah ππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1849327264619532745?s=46
mume wao kashasema nani atapingaππ
View: https://x.com/kenyans/status/1849305822670606351?s=46
Dah.....ila hawa nyang'au walitutesa jamani......dah!Wewe ni mgeni kwenye hii battle, hawa wakenya tumetoka nao mbali sana, tangu enzi zile za "show me even 1 flyover" na kiukweli huna cha kuonesha, enzi zile mkenya anapost dreamliner alafu wewe huna hata Q400, wewe wakati huo upo jukwaa la warembo sisi tunapata shida huku, sasa unapomtajataja Magufuli kuwa makini mkuu, with due respect.
Unaweka neno standards na kunya kwenye sentensi moja ? Mkuu .
View: https://x.com/Kenyans/status/1849379629867389144?t=GX3HVQsLxn2bIbvB6USXZA&s=19
Hivi Kwa nini Kundustan majengo yanadondoka hovyo? Hakunaga compliances ya standards za uje nzi?