Yani wewe fala hata huwezijua hiyo ni edited video? Kweli ufala ni laana.england nao walikua wanaifatilia derby kubwa africa ππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/reel/DBdfkdEuh58/?igsh=MTlyOXpvN2k0b25oeA==
Guys mbona tunasumbuka sana na lanes? Sometimes hebu tuwaache watendaji wafanye kazi zao.Njia ya airport kimsingi ilifaa kuwa na lanes 6 za gari za kawaida+ lanes 2 za brt, ile barabara sasahiv tu tayari imeshazidiwa
Yani Kenya keeps on widening the gap. Thatβs a gap of $40B between GDP ya Kenya na Tanzania.
Utoto. As long as mnakufa na njaa does not make any sense to have big paper records while everyone in kudustan is dying.Yani Kenya keeps on widening the gap. Thatβs a gap of $40B between GDP ya Kenya na Tanzania.
Sawa gay.Utoto. As long as mnakufa na njaa does not make any sense to have big paper records while everyone in kudustan is dying.
Everyone in JF knows, how poor you are.Sawa gay.
Safi, sasa nakutoa rasmi kwenye ban ππMkuu nimeapa hii mada tuiache tu maana hapa tukiongelea itaonekana tuko kisiasa wakati sivyo. Ili tuendelee lazima tutengeneze system sio hii ya Sasa hivi ambayo maendeleo tunayaangalia kwa jina la mtu.
Tuachane na hii mada
Mimi nilijua hunifuatilii kumbe unachunguliaSafi, sasa nakutoa rasmi kwenye ban ππView attachment 3133707
Basi tu watu wanakaza fuvu lkn ukweli usemwe, mzee katutoa mbali sana japo ana mapungufu yake tena makubwa tu ila mapungufu yake hayazidi faida alizotuachia, mm sikumpigia kura mwaka 2015 lkn baadaye nilijutia sn mpaka ilipofika 2020 nilimpa kura yangu japo kwa wabunge na madiwani alipoteza kura yangu.Mm 2017 nilikuwa nachungulia na kutoka nduki na hata sikutaka kuwa na acaunti maake tulikuwa tunapigwa ko mda mfupi tu mambo yaka badilika hadi waleo kunyani wanatugwaya ni kwa sababu ya JPM
Wewe ni mgeni kwenye hii battle, hawa wakenya tumetoka nao mbali sana, tangu enzi zile za "show me even 1 flyover" na kiukweli huna cha kuonesha, enzi zile mkenya anapost dreamliner alafu wewe huna hata Q400, wewe wakati huo upo jukwaa la warembo sisi tunapata shida huku, sasa unapomtajataja Magufuli kuwa makini mkuu, with due respect.Mimi nilijua hunifuatilii kumbe unachungulia
Gap ipi ambayo Iko widened?Yani Kenya keeps on widening the gap. Thatβs a gap of $40B between GDP ya Kenya na Tanzania.
Wachaga ujinga na wewe.Na Chato airport?
Tatizo hajui tulipotoka.Kwanza Nilikuwa nakushangaa kuendelea Kupoteza Mudawako Kumjibu
Mwandiko wa ChoiceVariable huu, mkuu unamiliki ID ngp baba π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mkuu tuachane nayo Kila kiongozi alifanya yake mazuri ila tuliyajua mabaya ya kikwete sababu aliruhusu tuyajue ila kwa magu haikuwa hivyo.
Term 1 ya kikwete alianzisha miradi ya bababara za 3145 nchi nzima na ubora wa barabara unaweza kuprove kwa kufuatilia hiyo
Term 1 ya magu alianzisha barabara 1535 .
Niko tofauti na wewe kwa sababu unaona magu alifanya mengi tofauti na kuliko rais yoyote ila unasahau kuwa miradi mingi aliyoanzisha ni incomplete.
Na ndo maana nasema alama 1 ya ujenzi ni barabara tukija kwenye elimu, hospitali ,maji, human capital
Wafuasi wa Mwendazake nyie ni wajinga na wapumbavu kweli,kwamba huu Uzi mlishajimilikisha kiasi kwamba Kila mwenye maoni tofauti na Mimi basi ni Mimi?Mwandiko wa ChoiceVariable huu, mkuu unamiliki ID ngp baba π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mbona kama editing mwenyekiti πππengland nao walikua wanaifatilia derby kubwa africa ππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/reel/DBdfkdEuh58/?igsh=MTlyOXpvN2k0b25oeA==
Barabara ipo kama imepigwa plasta.
GDP Kati ya Kenya na Tanzania imekuwa widen to $40B.Gap ipi ambayo Iko widened?