Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi ya ajabu sana hii. Serikali ambayo imeua watu iko kimya hata kutoa pole kwa wafiwa. Bendera nyingi zimewekwa nusu mlingoti kasoro bendera ya nchi husika na mauaji. Halafu mtu anashangaa mtu kuichukia serikali! U
Mtu akishachukia serikali chochote inachofanya anaombea kifeli hio ndio furaha yake.
Hawataki kufanya hivo maana wataonekana wamekiri kilichofanyika.
 
Nchi ya ajabu sana hii. Serikali ambayo imeua watu iko kimya hata kutoa pole kwa wafiwa. Bendera nyingi zimewekwa nusu mlingoti kasoro bendera ya nchi husika na mauaji. Halafu mtu anashangaa mtu kuichukia serikali! U
Mtu akishachukia serikali chochote inachofanya anaombea kifeli hio ndio furaha yake.
yes ni sahihi kabisa imagine dunia nzima inaombeleza wao wameshindwa kutambua na kujua kua watu wengi sana wamekufa bila hatia tena kwa kupigwa risasi wazi wazi

nchi hii kwa sasa inasikitisha sana na inati huruma sana 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

lakini hakuna damu ya mtu wala haki ya mtu itaondoka bure juu ya uso wa dunia kila damu iliodhulumiwa italia kwa nguvu mpaka dunia itakaposimama
 
BTW there are levels to these things, only the big boys can handle it 😂 😂 , nyie bado mko chini sana

View: https://www.youtube.com/watch?v=LW5R1zgRKqI&t=7s&pp=ygUmYWZyaWNhbiBjaGFtcGlvbnMgbGVhZ3VlIG1rYXBhIG1vbWVudHM%3D

ati big boys🤣🤣🤣
Here you are celebrating Rwanda hosting F1 though their gdp ppp is even way below yours… why did you not raise priority issues here? You’re just a jealous lot 😂
IMG_4882.jpeg
 
Back
Top Bottom