Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bosi unaweza taja mradi wenye tija ambao magufuli alianzisha na kukamilisha . Wenye tija
Mimi simpigii kampeni ila tukisema tu audit miradi iliyofanyika chini ya magufuli kwa kulinganisha na Samia , Mimi naona wizi mkubwa ulikuwa kipindi Cha magu
Unakosea pakubwa sana.
Samia ameendeleza miradi ya kawaida ya siku zote ila Magufuli ameanzisha miradi ambayo haikuwahi fikiriwa.
 
Sisi tuliwaambia mapema kwamba Tanzania ni football nation hatujui michezo mingine zaidi ya football na muziki, hatuna haja na michezo mingine ya kimaskini. Mtu unakimbia kilometa 10,000 alafu unapewa $2000 mshahara wa wiki moja wa mchezaji mdogo anayecheza ligi kuu Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Faith Kipyegon hukimbia mbio ya 1,500m. Ndani ya dakika nne amemaliza kazi. Anakimbia kama mara kumi mwaka mzima (competitive races).

Tanzania vipaji vya mpira hamna. Ushindi mmoja ambao tayari tulikuwa tushawapiga pia with the same margin ndio mnajigamba nao. Acha tuone ni Kenya ama Tanzania ita-perform vizuri zaidi hiyo U20 Afcon.

faith2.png
faith.png
 
Unakosea pakubwa sana.
Samia ameendeleza miradi ya kawaida ya siku zote ila Magufuli ameanzisha miradi ambayo haikuwahi fikiriwa.
Sawa mkuu lakini Kuanzisha na kumaliza ni vitu viwili tofauti, Kuna barabara kadhaa zilianzisha na kikwete mpaka anaondoka magu zilikuwa Bado hazijakamilika walau Sasa hivi zinaendelezwa .
Kwahiyo mlitaka aanzishe miradi mipya atelekeze miradi yote ya magu.
Hakuna kitu kipya alichoanzisha magu vilikuwapo kwenye mpango hata reli ilikuwapo kwa mpango na yoyote ambaye angeingia lazima angeitekeleza.
Ukitaka kujua kwa magu ilikuwa ni siasa tafuta miradi aliyoianzisha na ikakamilika . Pia kumbuka katika kipindi chote tuliambiwa tufunge mikanda hakuna ajira, hakuna nyongeza ya mishahara hakuna safari tulitegemea akamilishe miradi mingi lakini haikuwa hivyo.
 
Unakosea pakubwa sana.
Samia ameendeleza miradi ya kawaida ya siku zote ila Magufuli ameanzisha miradi ambayo haikuwahi fikiriwa.
Mkuu huyu unayemtetea kumbuka ndo kipindi chake aligoma kabisa kumaliza miradi yote ya nyumba za nhc mfano mradi denge eco village . Miradi karibia yote ya kikwete aliuuwa , Samia hajatelekeza hata mradi mmoja
 
Mambo ambayo jirani hapendi kusikia
 
Mkuu huyu unayemtetea kumbuka ndo kipindi chake aligoma kabisa kumaliza miradi yote ya nyumba za nhc mfano mradi denge eco village . Miradi karibia yote ya kikwete aliuuwa , Samia hajatelekeza hata mradi mmoja
Mradi wa nyumba ile ilisemekana kuwa kuna mikono ya wakubwa ndani.
Yani ilikua ikikamilika ni kuwanufaisha wao kuna percentage zao mule.
Hata mimi nisingekamilisha.
 
Mradi wa nyumba ile ilisemekana kuwa kuna mikono ya wakubwa ndani.
Yani ilikua ikikamilika ni kuwanufaisha wao kuna percentage zao mule.
Hata mimi nisingekamilisha.
Mikono ya wakubwa ndio inazuia kukamilisha ujenzi? Hizo nyumba si zinajengwa na kuuzwa hata wewe unaweza ukanunua ukawa mkubwa?

Excuses za kijinga
 
Sawa mkuu lakini Kuanzisha na kumaliza ni vitu viwili tofauti, Kuna barabara kadhaa zilianzisha na kikwete mpaka anaondoka magu zilikuwa Bado hazijakamilika walau Sasa hivi zinaendelezwa .
Kwahiyo mlitaka aanzishe miradi mipya atelekeze miradi yote ya magu.
Hakuna kitu kipya alichoanzisha magu vilikuwapo kwenye mpango hata reli ilikuwapo kwa mpango na yoyote ambaye angeingia lazima angeitekeleza.
Ukitaka kujua kwa magu ilikuwa ni siasa tafuta miradi aliyoianzisha na ikakamilika . Pia kumbuka katika kipindi chote tuliambiwa tufunge mikanda hakuna ajira, hakuna nyongeza ya mishahara hakuna safari tulitegemea akamilishe miradi mingi lakini haikuwa hivyo.
Mkuu wacha hizi siasa zako maji taka au nitaku ignore kwasababu unaongopa, ni upuuzi kuendelea kumpa credit Samia kwa miradi ya Magufuli japo wote tunajenga nyumba moja, hata Samia mwenyewe anajua exposure kaipata wapi, leo hii Rais yeyote wa Tanzania anajua jukumu alilonalo kwa wananchi, ni miradi ya uhakika na sio yale mambo ya neti enzi zile. Leo hii Magufuli amefanya jirani zetu wanatuheshimu, hivi nikuulize swali, kama asingepita Magufuli alafu angeanza Samia, je, leo hii tungeona hii miradi mikubwa inayoendelea? Acheni unafki au nikupige ban, sipendi ujinga kwenye vitu serious, tafadhali sanaa mkuu.
 
South B is an estate in Nairobi, located just 5 km from the city centre. It is possible to walk to the CBD in less than 30 minutes.

I don't respond to Tanzanians who quote me because anyone with functioning eyes can see that it will take Dar slums more than 30 years to reach the current Nairobi state. If you don't have brains to decipher the truth, I can't help.

Next naleta picha za South C. Sijui mbona tuko na South B na South C na hatuna South A.

16.png

13.png

14.png

18.png

19.png
20.png
21.png

22.png
23.png
24.png
25.png
26.png
27.png

28.png
29.png
30.png
32.png

33.png
34.png
34.png
35.png
36.png

37.png
38.png
39.png

40.png
 
Mradi wa nyumba ile ilisemekana kuwa kuna mikono ya wakubwa ndani.
Yani ilikua ikikamilika ni kuwanufaisha wao kuna percentage zao mule.
Hata mimi nisingekamilisha.
Mkuu kama ingekuwa na Mikono ya wakubwa angeamuru ifanyiwe ukaguzi maalum ili kama kulikuwa na ubadhirifu washughulikiwe waliohusika. Ila kati ya vitu ambavyo mwendazake hakutaka ni ukaguzi. Tukisema ufanyike ukaguzi wa miradi aliyofanya magu , mingi inaufisadi na hata ukiangalia mingi ya aliyoikamilisha haikuwa na ubora rejea hostel
 
Ebu mention those 5* hotels tuzione. When mentioning them remember non of them can be compared with Kenyan hotels in terms of quality and service, that’s why all the awards of best hotels were won by Kenyan hotels at the World Travels Award.

Africa’s leading airport Hotel - Four Point Nairobi
Africa’s leading all inclusive Resort - Diamond Dreams of Africa, Kenya
Africa’s Leading Beach Destination - Diani Kenya
Africa’s Leading Beach Resort - Swahili Beach Kenya
Africa’s leading Boutique Resort- Billionaire Resort & Retreat, Kenya.
Africa’s leading City Hotel - Fairmont The Norfolk Hotel, Kenya
Africa’s leading design Hotel - The Tribe Hotel, Kenya
Africa’s leading Family Resort - Baobab Beach Resort, Kenya
Africa’s leading Hotel - Fairmont Mount Kenya Safari Club, Kenya
Africa’s leading Hotel Residence - The Residence at Leopard Beach Resort, Kenya
Africa’s leading Luxury Hotel Villa - The Cliff Villa, Kenya
Africa’s Leading Private Villa - Sirai Villa, Kenya
Africa’s leading New Hotel - Angama Hotel Amboseli, Kenya

Hakuna any Tanzanian hotel ranked ahead of Kenyan hotels😂😂😂

View attachment 3131506View attachment 3131507
Unaumwa mavi wewe!

Pita huku Quality Hotels and Resorts: Nairobi vs Zanzibar
 
Back
Top Bottom