Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At least we talk about them freely, hapo kwenu Aly Kibao kauliwa na hamuwezi ongea maanake mkiongea pia nyinyi mtapigwa risasi.
You can talk freely in kenya?
Nyinyi mna mbwebwe tu kujifanya wamarekani
Lakini kwa ground nyinyi ndo mnauana na kulawitiana kisa kusema ukweli
1729508110057.jpg


View: https://www.facebook.com/share/v/kZ5ct4QjzMwxoJ49/?mibextid=ty43ZLwQUWkVmZJS
 
Ni kama vile the more you talk freely, the more Looting by politicians , and more headshots to the protesters.. talking freely has no use . Tangu mmeanza huko kuongea ndio kwanza majamaa ndio yanaiba zaidi na yanawanyonga zaidi na kodi heavy . P.a.y.e huko now inafika hadi 45%
Yaani mnagawana na government pasu. 😀😀😀
Revenue collections be that 70% goes to service loans , na pesa zote za mikopo wamekula jubilee 😀
Yet our economy is bigger than yours.
 
Kisumu.

Always clean, tidy and neat with well marked roads and well laid pavements 😍😍

1729508467938.jpeg
 
we own all of the Planes at ATCL, bought kwa Cash, Hard Cash from Manufacturers.
Of the entire very old, used, second hand fleet, Kunya owns three of them.
KQ is the leading Airline in Africa, what about that your lazy Airline? Did it even got nominated?
 
But we dare talk about it. Hapo kwenu majority ya wanaouliwa hawajulikani maanake ukiongelea pia wewe unauliwa.
Nani ameuliwa? Si waziri wa ulinzi alifokewa msibani hapa.

Nikuletee watu walioliwa kisa kenyan politics. This year.

Sisi tukio moja limetrend mpaka Rais anashtuka...nyinyi watu zaidi ya 100 wamepigwa risasi, wengine wanabakwa, wengine wametekwa, wengine wanaokotwa kwenye viroba nk...and No one cares. Kazi kujiona mko more democratic....hapo hatuongelei Ukabila uliokomaa huko kenya. Wew unasaport serikali ya Ruta kisa wew ni mkale wa Eldoret. Huna sababu nyingine
 
siasa za kipumbavu ndio maana wanakufa masikini kila mwaka

View: https://youtu.be/LZWyvVy-QSI?si=_aHFYRUe0EZtK0V2


IDADI Ya Abiria Wanaowasili Katika Viwanja Vya Ndege Zanzibar​

July 17, 2024

IDADI ya Abiria wanaowasili katika viwanja vya ndege Zanzibar imeongezeka kutoka 840,599 mwaka 2020 hadi kufikia abiria 1,909,459 mwaka 2023.

Ongezeko hilo linachangiwa na ukuaji wa sekta ya Utalii pamoja na huduma bora katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume.

#AliahidiNaAnatekeleza
#nahodhawetu
#drHmwinyi
#JanaLeoNaKesho


na mwaka 2024 watalii wametiririka kama siafu yani mwaka huu usishangae idadi kufika 2.2m pax maana terminal 4 inajengwa hvi sasa
 
Back
Top Bottom