Learn about the third track in railways electrification then uje hapa tu discussHow can railway be electric? Please teach me how the track can be electric😂😂🤣😂.
Learn about the third track in railways electrification then uje hapa tu discussHow can railway be electric? Please teach me how the track can be electric😂😂🤣😂.
So kukinyesha,Hawa wote watanyeshewa na mizigo yao ?Jana nimesikitika sana. Tumefika 2115 badala ya 2110 😎😎
View attachment 3125467
Yes boss.So kukinyesha,Hawa wote watanyeshewa na mizigo yao ?
Ndo hivyo kwahiyo wenyewe wakiona scania p410 wanajua ni chassis ya basi kumbe roli tu, hakuna chassis ya basi ya p410 Hilo ni lorry tu. Kwa point hizo Hawa watu hawana mabasi Bali maloriTena P ni day cab haina kitanda for nearby deliveries
Unamueleza vitu vigumu. Third rail ataiona wapi? Over head cables hata kwenye picha utazielewa ila third rail kwenye picha kama hujui hutajua tu. Anafikiri kwenye subway mfano London underground kuna overhead cables.Learn about the third track in railways electrification then uje hapa tu discuss
Kwan watu hamwezi tokea mabehewa yenye shade karibu na station...au huwezi toka coach moja kwenda jingineSo kukinyesha,Hawa wote watanyeshewa na mizigo yao ?
Wasiera leone nao niliwaona wapo dar kuonyeshwa jijiHivi vitu unaweza kuchukulia poa kwa vile Bongo tumezoea hizi projects, D254 ana kila sababu ya kusema ITS INSANE CONSTRUCTIONS coz ukiangalia nchi za sub sahara huku namna Bongo inatimua vumbi ndio utapata picha, walikuja wa Zim juzi kati hapa, nikawapa tour ya jiji, macho yaliwatoka kuona mji mzima uko kwenye contructions na kupata a grimps ya vitu Baabkubwa vinavyokuja, one folk alisema “its for real Tanzania is on the move” wameahidi kurudi baada ya miaka 2 kupiga picha.
Kuna mwenye alidanganya wachawi ati Uganda will connect their SGR line go theirs😂😂🤣
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1845749512117088315
Hajui kuwa kutoka Mwanza kwenda Entebe kuna Meli kubwa ya mizigo inajengwa?K
kwani nn kinazuia SGR ya. Tanzania kuungana na Uganda kupitia Kagera-Isaka?
Etieeehh, aya kufa kabisa 👇👇👇👇😂😂😂😂Hawa wangepea China CCCC ,Hawa Yapi wako very slow itawachukua 7yrs!!! and infrastructure zao ziko chini sana.
China wangemaliza na 2yrs.
mnakuwa sio mnakuwanga.Hapo ni Hoteli and every bus has their own favorite hotel. Mbona watanzania mnakuanga Fala hivi?
This is purely easy coach in Nakuru heading to western Kenya.
View attachment 3125045
Kampala- Mombasa 1150kmkwani nn kinazuia SGR ya. Tanzania kuungana na Uganda kupitia Kagera-Isaka?