toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
😀Sisi tunaunda ndege, wao wanaunda tuktuk. Hiyo ndio maana halisi ya Mbingu vs Ardhi
😀Sisi tunaunda ndege, wao wanaunda tuktuk. Hiyo ndio maana halisi ya Mbingu vs Ardhi
Afadhali huyu kipchirchir arap Teargas apotee kidogo😎😎😎Lamamayeeee😂😂😂😂😂😂😂
Cameroon ananipigia jitu tena leo.
Ananipigia Kenya tena.
Makubwa 😂😂😂 juzi tu tume sign dili ya ku renovate reli yetu ya Tazara ili iwe SGr ya umeme, we are developing our railways to connect mataifa matano yanayotuzunguka, tuogope kukosa Uganda.? 😂😂😂😂 Kimsingi tunao Kongo drc, Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi. Huku kote kuna Mzigo wa maana.Najua saa hii mnaumia kuona Uganda is choosing Kenyan SGR over yours😂😂
Wacha uongo Mchina ha-convert CGR kuwa SGR! Ana-renovate iliyopo na anaweza Iweka hata umeme!Makubwa 😂😂😂 juzi tu tume sign dili ya ku renovate reli yetu ya Tazara ili iwe SGr ya umeme, we are developing our railways to connect mataifa matano yanayotuzunguka, tuogope kukosa Uganda.? 😂😂😂😂 Kimsingi tunao Kongo drc, Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi. Huku kote kuna Mzigo wa maana.
Furaha yangu ni kuona unaumiaNajua saa hii mnaumia kuona Uganda is choosing Kenyan SGR over yours😂😂
Zimbabwe amfunge namibia hapo 😂
Mnarenovate MGR ikue SGR ya umeme? Nikekuambia mara ngapi usijihusishe na vitu ulivyo na zero knowledge navyo? Kila siku unajiaibisha humu.Makubwa 😂😂😂 juzi tu tume sign dili ya ku renovate reli yetu ya Tazara ili iwe SGr ya umeme, we are developing our railways to connect mataifa matano yanayotuzunguka, tuogope kukosa Uganda.? 😂😂😂😂 Kimsingi tunao Kongo drc, Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi. Huku kote kuna Mzigo wa maana.
Kwahiyo tazara ni mgr?Mnarenovate MGR ikue SGR ya umeme? Nikekuambia mara ngapi usijihusishe na vitu ulivyo na zero knowledge navyo? Kila siku unajiaibisha humu.
Hapana, ni SGR.Kwahiyo tazara ni mgr?
Ok sawa, inafanyiwa marekebisho ili iwe electrifiedHapana, ni SGR.
LAWD, it did go over your head.Ok sawa, inafanyiwa marekebisho ili iwe electrified
Ndio state of art bus stand yenu sio?
Watanzania wote ni low IQ😂😂LAWD, it did go over your head.
Kwa hivo hapa ni Maasai Mara?
![]()
Na hapa je? Maasai Mara pia?
View: https://www.instagram.com/reel/C29XzABIKEQ/?utm_source=ig_web_copy_link
Hapo ni Hoteli and every bus has their own favorite hotel. Mbona watanzania mnakuanga Fala hivi?Ndio state of art bus stand yenu sio?
Hongera 😂😂😂 alafu Mbona Bus Chache hivyo kwa mji kama mombasa (Tupigie full view basi) 😂😂😂
Mbona Tanzania isipige Kenya? Ama umepata kama huna uwezo ungoja the highest ranked team in Africa to the work for you? Very lazy idiots😂😂Ananipigia Kenya tena.