Mtu hajawahi kuiona electric train ila anajifanya expert wa railways 😁
Pia nadhani kuna siasa hapo Burundi atakuwa kafanya lobbying kubwa ku outwit Rwanda on first rail link to DRC so that Burundi can be at the centre of rail connectivity in EA.Kumpeleka mpaka keza ingekuwa magoli sana kuliko ipitie Burundi.
Kutoka Rwanda kwenda goma ni rahisi sana
Kenyans have always been proud of the greenery in their cities.Tunaabiwa hakuna mapori au naona vibaya!
Mna Nini Cha kubembelezwa? 🤣🤣Hatuwalambi,wanatubembeleza
Hakuna aliyerob, Burundi in 6% ya nickel inayopatikana duniani na estimation ilikuwa 3mil ton kwa mwaka zingeweza pitia dar kwa hiyo ujenzi umelenga sana madini hayo.Pia nadhani kuna siasa hapo Burundi arakuwa kafanya lobbying kubwa ku outwit Rwanda on first rail link to DRC so that Burundi can be at the centre of rail connectivity in EA.
From Burundi utapata rail traffic from DRC, Rwanda and Tz
Hili ndio jibu la msingi sasaTanga kuna clinker
Pole kwa masaibu, nyumbani mbele ya mashabiki mnakula kichapo cha mbwa!!!, tena ilibaki kidogo wafunge tatuLupaso sahiiiView attachment 3125769
😀😀.., na sio ile DRC ya zamani hii ya kawaida sana.., sio kama Cameroon heheheNyie mpo nafasi ya ngapi kwene kundi lenu so far.? 😂😂😂Pole kwa masaibu, nyumbani mbele ya mashabiki mnakula kichapo cha mbwa!!!, tena ilibaki kidogo wafunge tatu![]()
😀😀.., na sio ile DRC ya zamani hii ya kawaida sana.., sio kama Cameroon hehehe
Angalau Taifa stars ina nafasi kuliko Kenya.Pole kwa masaibu, nyumbani mbele ya mashabiki mnakula kichapo cha mbwa!!!, tena ilibaki kidogo wafunge tatu![]()
😀😀.., na sio ile DRC ya zamani hii ya kawaida sana.., sio kama Cameroon hehehe
Hata Greece ilishinda England yet Greece is ranjed position 56 Globally while England is position 4. Football hakunanga cha nimepiga yule sasa naezakugunga pia, but hiw can a quack like you know such?😂😂😂.Hata Zambia imekuzidi wewe katika FIFA ranking lakini Tanzania tukamfunga.
Hizo games zote mtachapwa kama kawaida yenu. There is no sport that Tanzania is good at😂😂😂Angalau Taifa stars ina nafasi kuliko Kenya.
Taifa stars inakuja kumfunga Ethiopia na kusare na Guinea inapita.
Vipi wewe ndugu yangu??
Goal difference inakuhukumu pabaya sana.
Mnachapwa kwenu kama mbwa, at least Kenya ilichapwa na the best team in Africa huko Uganda😂😂Nyie mpo nafasi ya ngapi kwene kundi lenu so far.? 😂😂😂
We've played the same number of games, we have the same points but they feel they're ahead of us.🤣Pole kwa masaibu, nyumbani mbele ya mashabiki mnakula kichapo cha mbwa!!!, tena ilibaki kidogo wafunge tatu![]()
😀😀.., na sio ile DRC ya zamani hii ya kawaida sana.., sio kama Cameroon hehehe
Parade ya fake buses?
Hata Greece ilishinda England yet Greece is ranjed position 56 Globally while England is position 4. Football hakunanga cha nimepiga yule sasa naezakugunga pia, but hiw can a quack like you know such?😂😂😂.
Anyway mbona msigunge DRC? Tanzania is a Sportless nation😂😂😂👇👇
View: https://x.com/Tanfootball/status/1846204062879867009
Hawa wote wamekimbia free of charge. Yani kama game sio ya Simba na Yanga hamkuji kutazama, hadi mnaambiwa mtaingia ndio at least wacha he wameweza kufika😂😂.Lupaso sahiiiView attachment 3125769
Hizo games zote mtachapwa kama kawaida yenu. There is no sport that Tanzania is good at😂😂😂
View: https://x.com/Tanfootball/status/1846204062879867009