ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kaka naomba utoe maelezo zaidi. Taarifa yako hii ni muhimu sana.Jana nimesikitika sana. Tumefika 2115 badala ya 2110 😎😎
View attachment 3125467
Halafu mambo gani hayo wakati Mimi roho Huwa inaniuma kuwahi kufika naona kama ka nauli kangu kamewahi kuisha kwa Raha za mle ndani.Jana nimesikitika sana. Tumefika 2115 badala ya 2110 😎😎
View attachment 3125467
Dakika tano buanaKaka naomba utoe maelezo zaidi. Taarifa yako hii ni muhimu sana.
Hata Zambia imekuzidi wewe katika FIFA ranking lakini Tanzania tukamfunga.But Quackman Kenya is ahead of Tanzania in FiFa Ranking😂😂
Nakazia 👇👇D
Daily dose, hapa ni mwendo wa vitu vipya tu
View: https://youtu.be/57jGPSN1RIQ?si=V94vUXcwkUvJZ854 hili pigo takatifu,brt phase 2,3 na 4 kwa pamoja!kibera chokoraa wanastahili haya maumivu
Kama huna D mbili unaweza pita Wima hivi hivi 😂Kaka naomba utoe maelezo zaidi. Taarifa yako hii ni muhimu sana.
Kuna mwenye alidanganya wachawi ati Uganda will connect their SGR line go theirs😂😂🤣
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1845749512117088315
Tena P ni day cab haina kitanda for nearby deliveriesNdo maana nikakuambia ni zumbukuku hakuna chassis ya basi yenye p na kwa taarifa yako chassis yenye p Ina maanisha low forward cab yaan can yake inakuwa flat au Iko chini na Kuna four types kulikuwa na r ambayo ni
R high forward control
P low forward control
T bonneted yenye pua
S high deck
Tukija kwenye mabasi
Chasing zinakuwa either
F front engine
K rear engine
Sasa ukisema hiyo basi ni scania p410 Inamaanisha ni Lori, kwahiyo tulitegemea tuone kichwa Cha Lori na kama ni basi basi either lilitakiwa liwe scania f 410 hakuna scania p410 basi
Kingine hiyo Masai dashboard ni ya r 114- 340
Kwa simple analysis tu ni kuwa Kenya hakuna mabasi ila ni malori yaliyochongwa
Mnapoteza muda na mtu ambaye hajawahi hata kuiona na kuishika electric train let alone kuipanda😁And why should we be discussing na mtu aliyejitongozesha humu mburura