Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

UPDATE on the Mnazi Bay Gas Project Deal

👉 The Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) approved an $80.2m (218bn/-) drilling project with Maurel et Prom (M&P) to begin drilling three natural gas wells at Mnazi Bay, Mtwara, early next year.

👉 Two wells (MB5 and MS2) will begin production, while one (Kasa) is in the exploratory stage.

👉 The environmental impact assessment is complete, and compensation for affected people will start soon.

👉 Mnazi Bay supplies 48% of the gas for Tanzania’s electricity, with 641 billion cubic feet of recoverable gas and 120 million cubic feet produced daily.

👉 French firm Maurel et Prom holds a 60% stake, while TPDC retains 40%.

👉 As we all remember, in February 2024, TPDC paid Maurel et Prom USD 23.6 million using its internal revenues to acquire the interest.

1728995701774.png
 
Ndo hivyo kwahiyo wenyewe wakiona scania p410 wanajua ni chassis ya basi kumbe roli tu, hakuna chassis ya basi ya p410 Hilo ni lorry tu. Kwa point hizo Hawa watu hawana mabasi Bali malori
Nchi haina sheria kila mtu anajifanyia awezacho.
 
Unamueleza vitu vigumu. Third rail ataiona wapi? Over head cables hata kwenye picha utazielewa ila third rail kwenye picha kama hujui hutajua tu. Anafikiri kwenye subway mfano London underground kuna overhead cables.
Duh kazi kwelikweli 🤣🤣🤣
 
Kampala- Mombasa 1150km
Kampala- dar 1690km
Kinacjoibeba Kenya kufika Kampala .
Makubaliano ilikuwa Rwanda waunganishwe kutoka isaka ila mpaka Sasa naona kwa upande wa Rwanda Bado wanasikilizia maana bila kuunganishwa na kongo, Rwanda haiatakuwa na mzigo wa kutosha kuweza fidia gharama za ujenzi na Bado hawako vizuri na Drc.
Ujenzi kwa Sasa umeconcentrate kwenda Burundi kwa sababu imegundulika Kuna madini ya nickel na cobalt kwa upande wa kabanga kgm wakati kwa Rwanda hakujawa na mzigo wa uhakika zaid ya kuimportbna ujenzi wa kipande Cha kwenda kigoma ukiwa unaendelea na kwa upande wa Burundi trc ilipewa jukumu la kumtafuta mkandarasi kwa upande Tanzania na Burundi, huku Afdb ikiwa imekubali kufadhili ujenzi.
From Burundi reli inaweza ikaenda Rwanda na Uganda unless tupeleke reli mpaka keza musongati with branch to Uganda
 
From Burundi reli inaweza ikaenda Rwanda na Uganda unless tupeleke reli mpaka keza musongati with branch to Uganda
Kumpeleka mpaka keza ingekuwa magoli sana kuliko ipitie Burundi.
Kutoka Rwanda kwenda goma ni rahisi sana
 
Back
Top Bottom