Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanatakiwa atach zilizobaki washunde zote 🤣 🤣 🤣 🤣 Na Zimbabwe na Cameroon wabaki hivyo hivyo walivyo kwenye msimamo. It is almost impossible. Wamegongwa na wametolewa... Zimbabwe akimgonga tu kweisha habari yake 🤣 🤣 🤣 🤣

1728967689045.png
 
ya kwenu iko wapi mulioanza ujenzi kwenda malaba ???😂😂😂😂😂
Miaka 10 Uganda aliingia mkataba na wachina kuanza ujenzi ila walikaa miaka Saba bila kuanza na sharti lilikiwa mpaka wakenya wafikishe malaba ndo ujenzi uanze, Leo kasaini tena na mturuki kuanza ujenzi lakini upande wa Kenya hawajapata hata mkandarasi wa kuanza ujenzi
 
hakuna kitu hapo kaka kil siku wanasaini MoU 😂😂😂😂
 
Miaka 10 Uganda aliingia mkataba na wachina kuanza ujenzi ila walikaa miaka Saba bila kuanza na sharti lilikiwa mpaka wakenya wafikishe malaba ndo ujenzi uanze, Leo kasaini tena na mturuki kuanza ujenzi lakini upande wa Kenya hawajapata hata mkandarasi wa kuanza ujenzi
Kwa hili tuwahurumie kunyan,namvyojua mu7 TZ tukitaka kuleta umafia mu7 asijenge hiyo reli tunaweza
 
Wanatakiwa atach zilizobaki washunde zote 🤣 🤣 🤣 🤣 Na Zimbabwe na Cameroon wabaki hivyo hivyo walivyo kwenye msimamo. It is almost impossible. Wamegongwa na wametolewa... Zimbabwe akimgonga tu kweisha habari yake 🤣 🤣 🤣 🤣

View attachment 3125385
Na Zimbabwe hamuachi lazima amgonge mimba nyingine akajifungue mapacha, saizi yanaomba Mungu na stars nao wafungwe jinsi yalivyo na roho mbaya, yenyewe ni non football country lkn yanataka kujilinganisha na football nation 🇹🇿 🇹🇿 😍 😍 ❤️ ❤️ 😘 😘
 
Back
Top Bottom