ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
I wish ungeuliza CCM haya maswali kuhusu uswazi uliojaa Tanzania
Mimi nakwambia watu wengi huko serikalini hawawazi mbali....hawafanyi meditation..wengi wakubwa kiumri ( miaka 40, 50, 60)lakini hawatumii akili zao... wengine hawajui kwa nini waliumbwa.Mandela road EU walitoa heka kipindi cha Jakaya kuipanua iwe njia 6 hela ikakaa sana bila kutumika EU wakawapa deadline ya miezi 3 mpaka December wakati huo barabara isipojengwa watapangia matumizi mengine serikali ya Jakaya wakakurupuka wakampa mkandarasi chap chap kilichotokea ni kuongeza service road na kuweka surface mpya palipoharibika hela ikapigwa nilisikitika sana wakati huo.
Sema niniWe mzee ebu taratibu, EU na WB navyowajua wanafuatilia miradi yao wasingeweza kukubali huu upuuzi, alafu ile barabara ilijengwa zile njia nne na service road, tena ni barabara imara sana hadi leo ukipita pamoja na shughuli yake ilivyo nzito lakini hakuna mashimo wala kupinda over 20yrs now, labda kule bandarini ndio kumechochoka.
Wizi ni hulka ya Mtanzania kuanzia aliyeko mtaani Hadi aliyeko Serikalini na wezi ndio wanaonekana wajanja.Mimi nakwambia watu wengi huko serikalini hawawazi mbali....hawafanyi meditation..wengi wakubwa kiumri ( miaka 40, 50, 60)lakini hawatumii akili zao... wengine hawajui kwa nini waliumbwa.
Ok walipiga hela za mradi, wakaoa wakajenga majumba, wakalewa leo hii 10 years later pesa waliokula inawakula na wao tena vibaya...maana hata wao hio Barabara inawasumbua, watoto wao watateswa na hio Barabara nk
Hiv mtu unajisikiaje kuona uliiba pesa za mradi ambao umesababisha matatizo yanayokutesa wew na jamii nzima inayokuzunguka?
Ndo maana wazee wengi waliokuwa serikalini miaka hio...wakiwa wana miaka 70+ majuto ni mengi mno, pressure na sukari hazikauki kwa sababu ya uchafu waliofanya serikalini...
Watu wafanye meditation aisee. Wizi, ufisadi na mambo mengi yanaharibu maisha ya watu yanasumbua sana akili yako miaka ya mbeleni
Napenda jinsi akili za watz zilivyo na exposure na elimu kubwa sana. Angalia comments za vijana kwenye hio post. Wanakoment huku wanatoa solution. Vijana wengi wako exposured nowadays sio kama zamani. CCM ibadilishe style ya uongozi kama wanataka kusurvive.Ivi Viongozi Akili zao kama zimeshindwa wapishe wenye uwezo
***** guys angalia hiyo video ni ya Juzi tu hapa Oct 2 downtown walk. Kweli hilo ndilo jiji wanatuletea humu downtown kama soko la Tandale?
View: https://youtu.be/DkYrLlyd41o?si=sXh6At_mhc-BNlMY
Linganisha na hii vloggers wao anayetembea Dar
View: https://youtu.be/ZzWwaWwAjow?si=MeXSoe97P_NudFAt
Kuna battle hapa kweli?
Roads imejaa ISUZU za Nyundo.
Zile BASI GO na Electric zipo wapi? Za kuvizia, ila Dar Street BRT kuiona LAZIMA
***** guys angalia hiyo video ni ya Juzi tu hapa Oct 2 downtown walk. Kweli hilo ndilo jiji wanatuletea humu downtown kama soko la Tandale?
View: https://youtu.be/DkYrLlyd41o?si=sXh6At_mhc-BNlMY
Linganisha na hii vloggers wao anayetembea Dar
View: https://youtu.be/ZzWwaWwAjow?si=MeXSoe97P_NudFAt
Kuna battle hapa kweli?
Roads imejaa ISUZU za Nyundo.
Zile BASI GO na Electric zipo wapi? Za kuvizia, ila Dar Street BRT kuiona LAZIMA
You mean this is in Kwale? Na hata hatuna habari! Ingekuwa ni Tanzania, picha zingetembezwa hapa usiku na mchanaKwale Stadium taking shape.
![]()
๐๐๐๐ are you crazy or something.?
A million times better than these ones below
So it's no longer about Dar nzima kuwa captured in one picture? Sasa imekuwa about visibility?tazama hata visibility ni mbingu na ardhi nairobi ni ndogo sana buda tena ndogo sana kwa dar chukua nairobi tatu na chenchi inabaki ๐๐๐๐๐
Ukubwa wa Dar ni vichaka.? ๐๐๐ kuna vichaka na mashamba in Dar.? Mbona naskia hii kutoka kwako..?So it's no longer about Dar nzima kuwa captured in one picture? Sasa imekuwa about visibility?
Excuses galore.
About ukubwa, sote tunajua Dar ni kubwa hata Kwa New York. Does that mean Dar is better than New York just because it's bigger?
Umubwa wa Dar tunajua ni uswazi kila Kona and then kuna sehemu kubwa sana ambayo ni vichaka na mashamba ya mihogo. Enda Nairobi kama utakuta hekari za mashamba na vichaka kama ilivyo Dar