ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,414
- 88,507
Wazo zuriKIA wangeacha ikawa International Flights tu, hapo pembeni tuna Arusha na Moshi Airports zote zimekuwa upgraded zinafaa kuhudumia domestic flights. Muhimu wapanue barabara yote ya Moshi Arusha to dual carriage ziwekwe Airport Limousines abiria wasafiri kwa haraka kuwahi flights. We need to prioritize our resources efficiently tuna mambo mengi bado ya kufanya.
๐ฎ๐ฎ๐ฎ Kwani maendeleo makubwa Kwa Sasa hayapo? Au yamerudi nyuma?Sema nini Siasa za Tanzania zinakwamisha mambo mengi sana.
Tungeacha professionalism iongoze sekta nyeti zote nchi hii kama infrastructures tungekuwa mbali sana...
Tulipata maendeleo sana kipindi cha Magu kwa sababu ni mtu aliyekuwa anawaza mbali na alikuwa ana exposure kubwa sana ya jinsi Tanzania inatakiwa iwe. Hata waliomzunguka wakina Mfugale, kijazi etc wote ni watu ambao Tungekuwa nao Miaka 10 wakenya wangekuwa wanakuja kushangaa mambo mengi sana hapa Tanzania kama ambavyo hawachoki kuja kutry SGR tu.
Siasa ndo zinafanya baadhi ya mambo muhimu kama infrastructures zifanyike kijuakali. Kama sasa hiv wanakimbiza kimbiza vitu ili 2025 wachaguliwe tena
Siasa ndo zinafanya Bodaboda na bajaji ziruhusiwe kupiga route za mjini...zamani waliondoa vipanya kisa vinabana mji ..sasa wameruhusu tena vibajaji
Nitawashangaa sana wakiijenga Mandela road kuwa 6 lanes tena wakati ni moja ya Barabara muhimu sana kwa uchumi wa nchi hii. Mimi binafsi sitawasamehe kama wakifanya makosa kwa Barabara hii.
Kungekuwa na watu wenye kuwaza mbali kule Kibaha...wangeongeza hata km 30 kufika Mlandizi iwe 6 lanes. Kwa miaka hii mitatu toka 2021 wana uwezo wa kufanyw hivyo tena kwa pesa za ndani
elewa point aliyoongea kwanza sio unakurupuka msikilize vzr maelezo yake alaf jibu kwa hoja, huwez jenga four lanes njia ya airport kwa ajili private cars alaf after 3 yrs gari zimeongezeka ubomoe tena chember za maji na taa za barabarani ueke tena barabara nyingine, tunafaa kufikiria 20yrs sio 2 yrs๐ฎ๐ฎ๐ฎ Kwani maendeleo makubwa Kwa Sasa hayapo? Au yamerudi nyuma?
Unaongea kana kwamba Rais ndio Huwa anapanga Kila kitu wakati ni hao hao Wataalamu na wapo.
Kama Kuna uhitaji watafanya hivyo ila usilete mambo yasiyohusiana Kwa sababu tuu unawachukia waliopo ofisini.
Kwanza sijabisha hiyo hoja yake nilichokataa nimkusema kwamba eti saizi siasa zinaharibu na blaa blaa zingine za kijinga.elewa point aliyoongea kwanza sio unakurupuka msikilize vzr maelezo yake alaf jibu kwa hoja, huwez jenga four lanes njia ya airport kwa ajili private cars alaf after 3 yrs gari zimeongezeka ubomoe tena chember za maji na taa za barabarani ueke tena barabara nyingine, tunafaa kufikiria 20yrs sio 2 yrs
lawama number moja ya nchi ni lazma iende kwa kiongozi wa juu, hatuwez kua tunajenga barabara ya mabilioni ya pesa alaf after 3 yrs tunavunja tunajenga upya kisa watu wamekaa wanaweka mitego ya kula pesa haiwezekani kaka, tazama tu foleni ilioko sasa hvi dar kipindi cha ujenzi je miaka mitatu ijayo wakat tunabomoa barabara tena hio foleni itakua ya aina gani??? nchi ni lazma tufikiri miaka 10 mpaka 20 mbeleKwanza sijabisha hiyo hoja yake nilichokataa nimkusema kwamba eti saizi siasa zinaharibu na blaa blaa zingine za kijinga.
Nimemaliza Kwa kusema kama Kuna uhitaji itafanyika hivyo maana wanaofanya hayo ni wataalamu na wapo na sio Rais.
Wewe ndio umekurupuka bila kuelewa maelezo yangu.
Tunajenga hoja Kwa misingi ya chuki zako.
Bagamoyo Road inapitia mengiSasa hii si wangeplan zamani ikaenda sambamba na BRT 4 kama walivyofanya Kilwa Rd na Changโombe? So wanamaliza kujenga BRT alafu wanavunja tena kuongeza flyover? ๐คท๐พโโ๏ธ
na mm hapo ndipo nachoka kabisa yqni tunakuja kufkiria jambo muhimu wakat muda ushakwenda sanaSasa hii si wangeplan zamani ikaenda sambamba na BRT 4 kama walivyofanya Kilwa Rd na Changโombe? So wanamaliza kujenga BRT alafu wanavunja tena kuongeza flyover? ๐คท๐พโโ๏ธ
Mandela road EU walitoa heka kipindi cha Jakaya kuipanua iwe njia 6 hela ikakaa sana bila kutumika EU wakawapa deadline ya miezi 3 mpaka December wakati huo barabara isipojengwa watapangia matumizi mengine serikali ya Jakaya wakakurupuka wakampa mkandarasi chap chap kilichotokea ni kuongeza service road na kuweka surface mpya palipoharibika hela ikapigwa nilisikitika sana wakati huo.Sema nini Siasa za Tanzania zinakwamisha mambo mengi sana.
Tungeacha professionalism iongoze sekta nyeti zote nchi hii kama infrastructures tungekuwa mbali sana...
Tulipata maendeleo sana kipindi cha Magu kwa sababu ni mtu aliyekuwa anawaza mbali na alikuwa ana exposure kubwa sana ya jinsi Tanzania inatakiwa iwe. Hata waliomzunguka wakina Mfugale, kijazi etc wote ni watu ambao Tungekuwa nao Miaka 10 wakenya wangekuwa wanakuja kushangaa mambo mengi sana hapa Tanzania kama ambavyo hawachoki kuja kutry SGR tu.
Siasa ndo zinafanya baadhi ya mambo muhimu kama infrastructures zifanyike kijuakali. Kama sasa hiv wanakimbiza kimbiza vitu ili 2025 wachaguliwe tena
Siasa ndo zinafanya Bodaboda na bajaji ziruhusiwe kupiga route za mjini...zamani waliondoa vipanya kisa vinabana mji ..sasa wameruhusu tena vibajaji
Nitawashangaa sana wakiijenga Mandela road kuwa 6 lanes tena wakati ni moja ya Barabara muhimu sana kwa uchumi wa nchi hii. Mimi binafsi sitawasamehe kama wakifanya makosa kwa Barabara hii.
Kungekuwa na watu wenye kuwaza mbali kule Kibaha...wangeongeza hata km 30 kufika Mlandizi iwe 6 lanes. Kwa miaka hii mitatu toka 2021 wana uwezo wa kufanyw hivyo tena kwa pesa za ndani
Rushwa ni adui wa hakiMandela road EU walitoa heka kipindi cha Jakaya kuipanua iwe njia 6 hela ikakaa sana bila kutumika EU wakawapa deadline ya miezi 3 mpaka December wakati huo barabara isipojengwa watapangia matumizi mengine serikali ya Jakaya wakakurupuka wakampa mkandarasi chap chap kilichotokea ni kuongeza service road na kuweka surface mpya palipoharibika hela ikapigwa nilisikitika sana wakati huo.
๐๐๐๐๐ kenya imekwisha aisee
View: https://x.com/c_nyakundih/status/1841836332961722793?s=46