Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa Tanroad wangekuwa wanawaza mbali, Mandela road wangeipanua yote kuwa njia nane na yenyew kwa wingi ule maroli wakija kujenga BRT 5
Huko Tanroad nahisi kumejaa wazee wenye mawazo ya 90s, pale Tazara ilipaswa waweke underpass ili kuepuka changamoto zitakazotokea pale kwenye flyover ambazo zingeweza kutatuliwa mapema kama tungekuwa na watu wenye vision ya kweli.
 
Walete hata ya Nairobi tuu 😁
Kasarani jua kali Stadium, serious!!?? 🏟️
Unavyoona hapa kuna dalili ya kuwa na taa hata moja?👇👇🤣🤣
Screenshot_20230929-155345~2.png
 
Huko Tanroad nahisi kumejaa wazee wenye mawazo ya 90s, pale Tazara ilipaswa waweke underpass ili kuepuka changamoto zitakazotokea pale kwenye flyover ambazo zingeweza kutatuliwa mapema kama tungekuwa na watu wenye vision ya kweli.
Guys tusiwe kama Gen-Z wa kenya. Kulaumu tu bila kujua details.

TANROADS kuna projects nyingi sana zipo designed vizuri. But zikipelekwa kwaajili ya utekelezaji wanaambiwa wasubiri.

During Kikwete era kulikuwa na project ya express overpass kutoka mbezi beach kwenda posta. Haikuwa implemented imekuwa implemented Kenya.

Kuna daraja la kutoka Dar kwenda Zanzibar. Watu wa kutoa pesa na kujenga wapo, lakini Azam walikwamisha.

Mzee hapo TANROADS vipo vichwa mzee.

Tuache cheap lawama zisizo na details
 
hata barabara ya airport ilitkiwa iwe 8 lanes ila sijui wanafkiria nn, yani sijui washauri gani wanatoa haya mawazo
Tena ile Nyerere wasingevunja hata baraza lolote. Space ilikuwepo hata kuweka njia nane na service road kubwa tu..utaskia 2028 wanavunja zile sidewalks na drainage channels eti wanapanua tena kama ambavyo wanafanya kimara

Ok washakosea basi wajenge hizo service roads vzr wapande na miti...au wawaachie TRC watafute mwekezaji yeyote aweke tram ways kila upande walau kuanzia Airport ndani hadi City centre. Hio Samora Avenue waifanye one way sehemu ilyobaki wajenge tram hadi kule ohio street

Pia hizo reli za zamani kama route ya ubungo maziwa, Tabata na gomz wanaweza zimodify zikatumia umeme hata kwa kujenga standard za light rails. Sio lazima wafanye wao. Watafute mwekezaji wamuandikie proposal. Amiliki na aendeshe kwa muda flani
 
Guys tusiwe kama Gen-Z wa kenya. Kulaumu tu bila kujua details.

TANROADS kuna projects nyingi sana zipo designed vizuri. But zikipelekwa kwaajili ya utekelezaji wanaambiwa wasubiri.

During Kikwete era kulikuwa na project ya express overpass kutoka mbezi beach kwenda posta. Haikuwa implemented imekuwa implemented Kenya.

Kuna daraja la kutoka Dar kwenda Zanzibar. Watu wa kutoa pesa na kujenga wapo, lakini Azam walikwamisha.

Mzee hapo TANROADS vipo vichwa mzee.

Tuache cheap lawama zisizo na details
Sema nini Siasa za Tanzania zinakwamisha mambo mengi sana.

Tungeacha professionalism iongoze sekta nyeti zote nchi hii kama infrastructures tungekuwa mbali sana...

Tulipata maendeleo sana kipindi cha Magu kwa sababu ni mtu aliyekuwa anawaza mbali na alikuwa ana exposure kubwa sana ya jinsi Tanzania inatakiwa iwe. Hata waliomzunguka wakina Mfugale, kijazi etc wote ni watu ambao Tungekuwa nao Miaka 10 wakenya wangekuwa wanakuja kushangaa mambo mengi sana hapa Tanzania kama ambavyo hawachoki kuja kutry SGR tu.

Siasa ndo zinafanya baadhi ya mambo muhimu kama infrastructures zifanyike kijuakali. Kama sasa hiv wanakimbiza kimbiza vitu ili 2025 wachaguliwe tena

Siasa ndo zinafanya Bodaboda na bajaji ziruhusiwe kupiga route za mjini...zamani waliondoa vipanya kisa vinabana mji ..sasa wameruhusu tena vibajaji

Nitawashangaa sana wakiijenga Mandela road kuwa 6 lanes tena wakati ni moja ya Barabara muhimu sana kwa uchumi wa nchi hii. Mimi binafsi sitawasamehe kama wakifanya makosa kwa Barabara hii.

Kungekuwa na watu wenye kuwaza mbali kule Kibaha...wangeongeza hata km 30 kufika Mlandizi iwe 6 lanes. Kwa miaka hii mitatu toka 2021 wana uwezo wa kufanyw hivyo tena kwa pesa za ndani
 
Wapanue passenger terminal ya KIA ,Abiria zaidi ya 1M ni wengi sana
KIA wangeacha ikawa International Flights tu, hapo pembeni tuna Arusha na Moshi Airports zote zimekuwa upgraded zinafaa kuhudumia domestic flights. Muhimu wapanue barabara yote ya Moshi Arusha to dual carriage ziwekwe Airport Limousines abiria wasafiri kwa haraka kuwahi flights. We need to prioritize our resources efficiently tuna mambo mengi bado ya kufanya.
 
Back
Top Bottom