Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NHC Mtwara Residential Apartments.

Kwa jirani ,nyumba za hivi zingejengwa Nairobi 🤣🤣👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAnNA-5tLaP/?igsh=eGVzMWc1ZTRwZWZk
Screenshot_20241003-064856.jpg
 
Barabara inayoenda kwenye international boarder inakosaje classification? Mpo hovyo kweli, mmekaa kupika data tu ndio kitu serikali yenu inajua na ufisadi, fake data zinaonesha mna barabara nyingi mara 3 ya Tanzania yet nchi yenu ni nusu ya Tanzania na bado hamna barabara ya maana towards boarder posts zenu almost zote, hizo barabara ni za ndege hewani?
Hamna Border Post hapo wee kenge. Border post ipo Illasit (Tarakea kwa upande wa Tanzania). Nimeona naongea na zuzu hapa. 😂 😂 😂
 
Hamna Border Post hapo wee kenge. Border post ipo Illasit (Tarakea kwa upande wa Tanzania). Nimeona naongea na zuzu hapa. 😂 😂 😂
Na Tanzania imepakana na nchi 8 zote zina multiple tarmacked road routes towards the borders ninyi ukiondoa Uganda na Ethiopia, kidogo na Tanzania huko kote ni vumbi na mashimo, halafu unaona ukisema unclassified ndio itakuokoa kumbe ndio unajidhalilisha
 
Sawa. 😂 😂
 
Mtu yupo anatupigia kelele utadhani Ametoka Scandinavia

Kumbe ametoka huku

Wanatolewa slums wanaenda kuanzisha pipeline, Nchi ambayo mji hauna sewage system ya kueleweka yupo ameingia vijijini kutafuta ubaya wakati sisi Nairobi tu inatosha.

View attachment 3113163
View attachment 3113167

View attachment 3113169
View attachment 3113170

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Vumbi kama Sayari flani kule 😂 Mars、 Kumbe hapa hapa mjini CBDEEEEE 😂 Times and CBK towers kwa mbele pale, Ki Hiace Kipo mjini lakini kimejaaa Tope nusu gari na haijulikani ni rangi gani 😂

Wakundustan Wachafu aisee

IMG_6775.png
 
Back
Top Bottom